Ukitumiwa ujumbe na Matapeli huwa unajibu nini?

Ukitumiwa ujumbe na Matapeli huwa unajibu nini?

Ukitumiwa ujumbe mfupi na matapeli wa mtandao wale ambao wanaandika “tuma ile pesa kwenye namba ….” Huwa unajibu nini?

Na unachukua hatua gani?
Mbona nilishakutumia bilioni mbili, kwani wenzako hawajakupa mgao wako?
 
Mi nimeblock hadi nimechoka, zinazidi tu kuja.
Namba nyingi ni za Ttcl na H/tel, sijui hizo kampuni zina udhaifu gani katika kusajili line!
Mimi uwa nawaripoti TCRA no.15040 Toka nimeanza kuripoti na ninatunza kumbukumbu Hadi sasa nimeshakusanya namba 30
 
Back
Top Bottom