Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 Oct 29, 2024 #21 gcmmedia said: Ukitumiwa ujumbe mfupi na matapeli wa mtandao wale ambao wanaandika “tuma ile pesa kwenye namba ….” Huwa unajibu nini? Na unachukua hatua gani? Click to expand... Mbona nilishakutumia bilioni mbili, kwani wenzako hawajakupa mgao wako?
gcmmedia said: Ukitumiwa ujumbe mfupi na matapeli wa mtandao wale ambao wanaandika “tuma ile pesa kwenye namba ….” Huwa unajibu nini? Na unachukua hatua gani? Click to expand... Mbona nilishakutumia bilioni mbili, kwani wenzako hawajakupa mgao wako?
T Tsyamatsy JF-Expert Member Joined Sep 9, 2023 Posts 265 Reaction score 421 Oct 30, 2024 #22 Sakasaka Mao said: Mi nimeblock hadi nimechoka, zinazidi tu kuja. Namba nyingi ni za Ttcl na H/tel, sijui hizo kampuni zina udhaifu gani katika kusajili line! Click to expand... Mimi uwa nawaripoti TCRA no.15040 Toka nimeanza kuripoti na ninatunza kumbukumbu Hadi sasa nimeshakusanya namba 30
Sakasaka Mao said: Mi nimeblock hadi nimechoka, zinazidi tu kuja. Namba nyingi ni za Ttcl na H/tel, sijui hizo kampuni zina udhaifu gani katika kusajili line! Click to expand... Mimi uwa nawaripoti TCRA no.15040 Toka nimeanza kuripoti na ninatunza kumbukumbu Hadi sasa nimeshakusanya namba 30
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Oct 30, 2024 #23 LOTH HEMA said: ni wapuuzi, wanaweza kumtukana kigogo mkubwa wa nchi bila kujua Click to expand... Do they care?
LOTH HEMA said: ni wapuuzi, wanaweza kumtukana kigogo mkubwa wa nchi bila kujua Click to expand... Do they care?