Hakuna upelelezi wa kifala hivi!Ilitakiwa wapelekwe undercover agents na sio kuwaingiza mkenge watu wasio na hatia halafu unawachukulia kama Collateral damage!Mambo ya kiupelelezi waachie wapelelezi bro, upelelezi una approaches kedekede kutegemea unataka ku - achieve objective ipi.
Kipi na umejuaje kama kimefichwa?Kuna kitu kimejificha hapo!
Akili zako sawa na za mjingamiminyie ongeleeni ushabiki lakini ukweli ushawekwa wazi makomandoo wanatoka gaidi ni mbow anakula mvua
Nafiki kuanzia leo mtu mwenye ROHO MBAYA aitwe URIO .... This is not acceptable.Umeandika vizuri sana... mpaka mtu uwe Great Thinker ndo unaweza kuelewa umeandika nini hapa. Haiwezekani mtu uwatoe watu kwenye shughuli zao halali, uwaingize kwenye matatizo makubwa, waanze kupigwa, kuteswa, kukaa jela, kushtakiwa kwa ugaidi.. wakati watu walikuwa busy na mambo yao tu. Huyu Urio ni mtu muovu sana ambae anastahili apigwe mawe hadharani! Wake na watoto wao wanateseka kwaajili ya huyu Urio.. Kesi ikiisha inatakiwa ashtakiwe na awalipe fidia hawa makomandoo kwa kuwaingiza kwenye matatizo
Ninafahamu na Nina uelewa mkubwa wapo dhama nzima ya upelelezi.Mambo ya kiupelelezi waachie wapelelezi bro, upelelezi una approaches kedekede kutegemea unataka ku - achieve objective ipi.
Mbona una wasiwasi?!Kipi na umejuaje kama kimefichwa?
Nafiki kuanzia leo mtu mwenye ROHO MBAYA aitwe URIO .... This is not acceptable.Umeandika vizuri sana... mpaka mtu uwe Great Thinker ndo unaweza kuelewa umeandika nini hapa. Haiwezekani mtu uwatoe watu kwenye shughuli zao halali, uwaingize kwenye matatizo makubwa, waanze kupigwa, kuteswa, kukaa jela, kushtakiwa kwa ugaidi.. wakati watu walikuwa busy na mambo yao tu. Huyu Urio ni mtu muovu sana ambae anastahili apigwe mawe hadharani! Wake na watoto wao wanateseka kwaajili ya huyu Urio.. Kesi ikiisha inatakiwa ashtakiwe na awalipe fidia hawa makomandoo kwa kuwaingiza kwenye matatizo
Wapelelezi gani .... akina URIO na Kingai. Seriously. Then Tanzania haina Wapelelezi ...!!Mambo ya kiupelelezi waachie wapelelezi bro, upelelezi una approaches kedekede kutegemea unataka ku - achieve objective ipi.
Uko Mtwara kuna Polisi kajinyonga na tambala la deki na kuzikwa haraka Iringa.Tatizo kwenye hii nchi, kila mtu anajiona ana sifa ya kuitwa Msanii wa maigizo! Wenzetu wa nchi za ulimwengu wa kwanza na wa pili, watu wao wanaingia kabisa darasani kusomea fani ya uigizaji!
Ila huku kwetu mambo ni tofauti kabisa. Kila mtu anajiona ana sifa ya kutengeneza muvi! Na hawa polisi ndiyo vinara wa kutengeneza muvi za uongo, na mwisho wa siku wanawaumiza raia wasio na hatia.
Safari hii, wacha tu waumbuke na hii kesi yao ya mchongo. Na huyo Urio daima atabakia kuwa askari jeshi mjinga kabisa kuwahi kutumiwa na form four failures.
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.
Wewe ndio unaongea kishabiki kwenye jurisprudence rule moja wapo ya ushahidi ni ukweli.nyie ongeleeni ushabiki lakini ukweli ushawekwa wazi makomandoo wanatoka gaidi ni mbow anakula mvua
Akili zako na Hangaya ni mavi matupu!Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
Hakuna rocket science kwenye upelelezi ni logic analysis tu! usidanganye watu michongo ni michongo tuMambo ya kiupelelezi waachie wapelelezi bro, upelelezi una approaches kedekede kutegemea unataka ku - achieve objective ipi.
Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
Aliyewatuma kuchonga kesi hii ndiye mpumbavu zaidi, kahaba mkuuKatika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.
Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)
Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia
Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.
Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.
Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa
WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Mbowe anaanzaje kutafuta makomandoo bila kutiliwa mashaka? hawa watu hata kama wako mitaani, wanafuatiliwa sana. Kuna wakati nahisi kujiamini sana au kutojua mambo yanavyokwenda, kumetoa nafasi ya Mwenyekiti kupewa shuruba anazopata.Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.
Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)
Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia
Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.
Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.
Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa
WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Hawa vijana tuwawezeshe ili waweze kumshitaki Urio jeshi la polisi kwa mateso waliowatia bila sababu. (kwa ushahidi wa Urio)Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.
Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)
Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia
Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.
Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.
Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa
WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Nilichoelewa ni kwamba bwn Urio naye ameunganishwa tu kwenye huu ushahidi ila naye alikuwa kwenye mateso sawasawa na wakina Ling'wenya ila hawa wakina Kingai wamem-coach ili awe shahidi upande wa serikali ili awe salama.Hapo ni kwamba anataka kujinasua yeye mwenyewe.Umeandika vizuri sana... mpaka mtu uwe Great Thinker ndo unaweza kuelewa umeandika nini hapa. Haiwezekani mtu uwatoe watu kwenye shughuli zao halali, uwaingize kwenye matatizo makubwa, waanze kupigwa, kuteswa, kukaa jela, kushtakiwa kwa ugaidi.. wakati watu walikuwa busy na mambo yao tu. Huyu Urio ni mtu muovu sana ambae anastahili apigwe mawe hadharani! Wake na watoto wao wanateseka kwaajili ya huyu Urio.. Kesi ikiisha inatakiwa ashtakiwe na awalipe fidia hawa makomandoo kwa kuwaingiza kwenye matatizo
Urio atakuwa wapi wakati Mbowe anafungwa? Kwa jinsi alivyojieleza mahakamani yeye ndiye gaidi namba moja aliyejificha nyuma ya Mbowe.nyie ongeleeni ushabiki lakini ukweli ushawekwa wazi makomandoo wanatoka gaidi ni mbow anakula mvua