Ezenwe Olumba
Senior Member
- Jan 24, 2020
- 128
- 238
Jamaa kawahadaa Wana kuwa ni kazi ya ulinzi huku Leo anapaka upupu akijua fika kuwa huo upupu unamfaa yeye kuupakaa. Mchaga michosho ngachokaUrio ndio anatakiwa afungwe kwa kuwadanganya na kuwapotezea mda hao wanajeshi waliotimuliwa jeshini
Aende kwenye ule uzi wa kula matunda kimasihara!😝😝😝😝Nyie ndo tunasema kila siku mmelishwa ugali tu tangu utoton bila hata mboga za majan hadi mkawa hivi. Usiharib uzi wa mtoa mada mwenye akili timam. Kuna majukwaa yako humu mengine! Huku kigezo ni uwe na akili timam

Nina mashaka stering wa hii picha alikuwa Baashite huku msaidizi wake akiwa ole Saambaya wakiongoza genge maarufu lililokuwa na Vingai wasiofuata PGO's ili kutekeleza malengo ovu ya kuchafua nchi kwa jina la uzalendo!Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.
Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)
Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia
Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.
Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.
Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa
WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Humu wamo vichaa.Full stop.Ndio Maana ulipata zero.Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
Hebu fikiria hii: ukimsikiliza vizuri Luteni Urio anasema, eti baada tu ya kuzungumza na Mbowe alimpigia simu DCI (sijui walipeana namba lini), na DCI akamwambie aende ofisini kwake kesho yake, na alipofika kwa DCI hata kabla hajamsikiliza vizuri akamwita Kingai ili wamsikilize pamoja. Jiulize sasa: Kingai yuko chini kabisa huku mkoani, kwanini DCI hakukaa na watu wa kitengo cha ugaidi u intelegensia makao makuu kumsikiliza Luteni Urio, na badala yake akamwita Kingai? Mchongo! Mchongo! Mchongo!Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.
Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)
Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia
Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.
Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.
Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa
WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
mchongo ni mchongo tuHebu fikiria hii: ukimsikiliza vizuri Luteni Urio anasema, eti baada tu ya kuzungumza na Mbowe alimpigia simu DCI (sijui walipeana namba lini), na DCI akamwambie aende ofisini kwake kesho yake, na alipofika kwa DCI hata kabla hajamsikiliza vizuri akamwita Kingai ili wamsikilize pamoja. Jiulize sasa: Kingai yuko chini kabisa huku mkoani, kwanini DCI hakukaa na watu wa kitengo cha ugaidi u intelegensia makao makuu kumsikiliza Luteni Urio, na badala yake akamwita Kingai? Mchongo! Mchongo! Mchongo!
Nahisi nia ya urio tangu awali akifahamiana na mbowe ilikuwa njema. Naamini polisi na wanasiasa walivyojua kuwa mbowe kaajili ex-soldiers,wali-draw interest kujua aliwapata vipi. Sasa walipogundua Urio ndo connector wakaona(police) urio ashikishwe adabu,apopewa kichapo,akalazimishwa awe shahidi ili kukamilisha nia ovu ya serikali kuihujumu chadema/mbowe. Sasa,urio hana LA kuzungumza isipokuwa ukweli kuwa kazi ilyohitajika na mbowe ilikuwa ulinzi. Hilo LA ugaidi ni kutimiza tu nia ovu ya watawala. Ngoja tuendelee kufuatilia hii movie.Urio ni shetani, alitafutwa na kutumiwa na akina Sabaya kummaliza Mbowe chini ya uratibu wa mwendazake. Bahati mbaya Jamaa katangulia mbele za haki kabla udhalimu haujakamilima. Hii ndo maana Sabaya na Makonda walilia kama watoto wadogo against kifo kile. Makonda akiwa na Boaz Dar wanapika sumu against Mbowe; Arusha, Sabaya na Kingai wanasaga sumu against Mbowe. Kote huku nia ni moja; Mbowe
Sijawahi kuona watu wenye roho mbaya kama Hawa. Wakati Urio akitamba kwamba kwenye screen server ya techno yake Kuna picha ya familia yake lkn wakati huohuo anaagamiza familia ya Mbowe na familia za wale washitakiwa wengine Kwa maslahi ya watawala. Very sad.
Lutein Denis Urio is just form four leaver. Akili ndogo, upeo mdogo na uelewa mdogo. Wanasiasa Wa chama tawala waliamua kutumia ujinga wake kumdhalilisha bila yeye kupima impact yake kwake. Jeshi imedhalilika pia.
Kulichojificha watu waliahidiwa vyeo na JIWE maana Mbowe ni tatizo kwa kijani ndio maana yule polisi mwenye kipara kama ugali wa muhogo akajifanya anajua Kila kituKuna kitu kimejificha hapo!
Kubadili ID hakuwezi kukuficha usijulikane kwa sababu haijakufanya uache bangi zako.Urio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
Kasema mwenyewe lakini! Tena mahakamani.Hakuna officer wa jeshi ambaye ni from four leaver take it from me.
Upo sahihi kabisa!Nahisi nia ya urio tangu awali akifahamiana na mbowe ilikuwa njema. Naamini polisi na wanasiasa walivyojua kuwa mbowe kaajili ex-soldiers,wali-draw interest kujua aliwapata vipi. Sasa walipogundua Urio ndo connector wakaona(police) urio ashikishwe adabu,apopewa kichapo,akalazimishwa awe shahidi ili kukamilisha nia ovu ya serikali kuihujumu chadema/mbowe. Sasa,urio hana LA kuzungumza isipokuwa ukweli kuwa kazi ilyohitajika na mbowe ilikuwa ulinzi. Hilo LA ugaidi ni kutimiza tu nia ovu ya watawala. Ngoja tuendelee kufuatilia hii movie.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Huenda akawa na Diploma ama ni form six, au kuna namna alijiendeleza...anyway nawaombea heri wote haya mambo yao yaishe katika amani.Kasema mwenyewe lakini! Tena mahakamani.
Amina! Inavyoonekana Urio mwanzo hakuwa na nia mbaya. Nia ilikuwa kumtafutia Mbowe walinzi, lakini wanasiasa wa upande mwingine wakatumia hiyo kama silaha ya kumaliza CDM. Huenda Urio anatoa ushahidi kwa shuruti.Huenda akawa na Diploma ama ni form six, au kuna namna alijiendeleza...anyway nawaombea heri wote haya mambo yao yaishe katika amani.
Kwa kweli ushahidi ulioanza juzi na jana unaibua maswali mengi sana! Inasikitisha sana kwa kweli.Katika ushaidi wa jana Urio alieleza kwamba Mbowe alimuomba amtafutie askari waliofukuzwa ili awatumie kufanya vitendo vya kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi. Kwa maelezo yake LT Urio alisema kwa uzalendo wake kwa nchi aliamua kwenda kuripoti suala ili kwa DCI Boaz. DCI Robert baada ya kupata taarifa za URio alimwambia aendelee na kazi hiyo ya kutafuta watu hao. Na awe anatoa taarifa kwake na kwa Kingai.
Urio alienda kuwatafuta vijana Raia wema waliofukuzwa Jeshini waliokuwa kwenye shughuli zao nyingine halali na kuwaambia kwamba kuna kazi ya ulinzi binafsi (bodyuard) anayoitaji Mbowe, na hakuwaambia ukweli vijana wale kwamba kuna kazi ya kufanya ugaidi. (kuvuruga amani ya nchi, kama kukata miti mikubwa kuchoma masoko na vituo vya mafuta na kudhuru viongozi)
Ukiukwaji wa maadili na unproffesionalism unaanzia hapo
Kwa sisi ambao tunafanya research kunakitu kinaitwa implied consent (ridhaa) lazima iwepo, hata unapofanya suala la kijasusi lazima mtu akubali ndio mambo mengine yaendelee. DCI inabidi naye aitwe mahakamani aeleze alipomkubalia Urio awatafute hao watu ilikuwa ili wawe upande wa serikali au waangushiwe jumba bovu? Tena bila ridhaa yao. Na Urio aulizwe ni nani alimuelekeza awatafute vijana awadanganye kwamba mbowe anataka walinzi wakati mbowe alimwambia anataka vijana wa kufanya ugaidi na hata kwa maelezo yake DCI alimkubalia Lt Urio aende akatafute vijana wa kwenda kufanya huo ugaidi na sio kazi ya ulinzi aliyowaambia
Hivi kweli tufikirie kwa kina na wewe Urio kama unasoma hapa unawezaje kama kweli wewe ni raia mwema wa nchi kumtafuta raia mwema mwenzako na kumdanganya kwamba kuna kazi ya ulinzi wakati kweli unajua kuna kazi ya ugaidi na ukamuingiza bila yeye mwenyewe kufaamu na bila ridhaa yake, halafu kwa macho makavu kabisa unakuja kumtolea ushahidi mahakamani kwamba walikuwa wanapanga uaidi ambao wewe ulikuwa uanujua tokea mwanzo lakini ukawaambia ni kazi ya ulinzi (Bodyuard). Wewe Urio unatakiwa upiwe mawe hadharani hadi ufe kwa aina ya ushaidi ulioutoa mahakamani jana.
Unprofesionalism ya DCI ipo hapa
Alipopokea taarifa ya Urio angetakiwa awasiliane na makachero wake waadilifu au awasiliane na IGP amuombe CDF ampatie vijana wake wa millitary intellience waitwe wakalishwe chini waambiwe kwamba wamepata taarifa mbowe anataka kufanya vitendo vya kigaidi na anahitaji watu wa kufanya hiyo kazi na wao kama vijana waadilifu na wazalendo wa nchi wameteuliwa kwenda kumchunguza jupata ukweli wa taarifa hiyo na watawasiliana na mtu wa kuwaunganisha na Mbowe.
Vijana hao wangeambiwa watakuwa undercover na watajulikana kama vijana waliofukuzwa jeshini na wangeambiwa baada ya kazi kumalizika watalipwa honorary na wafanye kazi na kuhifadhi ushahidi pamoja na uthibitisho usio na shaka ambapo utakapopolekwa mahakamani utakuwa hauna shaka yeyote. Na mwisho hawatachukuliwa hatua.
Kinachoelezwa mahakamani kwa sasa ni upuuzi na upumbavu uliopitiliza vitu vimetengenezwa kipumbafu hadi vinaleta kinyaa
WEWE URIO UMETOA USHAIDI WA HOVYO SANA
Mbona wewe umeharibika tumenyuti tu,acha tabia za kadindaUrio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna
MKuu kweli Una miaka ngapi napia unafwtiliaUrio ndiyo anamfungisha Mbowe yaani kaanika ukweli mtupu Mbowe angeiharibu nchi alikuwa na nia ovu haswaaa Mbowe anakwenda kufungwa hamna namna