Ukiukwaji wa maadili (unethical conduct) na professionalism kati ya DCI Boaz na Luteni Urio kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

nyie ongeleeni ushabiki lakini ukweli ushawekwa wazi makomandoo wanatoka gaidi ni mbow anakula mvua
Wewe kweli ni fudenge๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ amfunge kwa ushahidi alioutoa!!! Shahidi anakiri hana ushahidi wowote wa maandishi au sauti. Unatumiwa laki tano unatoa 499,000/ ni mjinga tu wa kumwamini.
 
Constructive facts. Safi sana.
 
Huyu mama ameharibiwa Sana na Jiwe. Jiwe alikuwa hajali mihimili mingine sasa na mama amemuiga, kipindi cha hawa wawili kitakumbukwa kwa uharibifu mkubwa wa kutoheshimu katiba. Kesi iko mahakamani mama anajiingiza ooh wenzake Mbowe walishafungwa. Sasa unategemea hawa watendaji wa chini watafanya nini zaidi ya kujitia hamnazo. Kuwa shahidi wa serikali lazima ujifyatue akili. Mtu mzima unazodolewa na mawakili Kama zuzu!!!kisa kulinda heshima ya mtu aliyejitakia kuchafuka!!!
 
Inawezekana Jiwe pamoja na system walipaniki baada ya kusikia MH Mbowe anaongeza ulinzi.

Upelelezi ukafanyika wakagundua anayesaidia mchakato huo ni Luteni Denis Urio ambaye ni komandoo WA jeshi la wananchi.

System ikamkamata na kumtesa Luten Denis Urio, Luteni Urio akakubali kutengeneza kesi. Swali la msingi Kikabaki je Akina Adamoo na wenzake watakatwa vipi?? Hapo ndipo komandoo Lijenje akauza ramani Kwa system.

Mastermind WA hii kesi ni Kingai, Mahita, Sabaya,Jiwe, IGP, Goodluck, Jumanne, Luteni Urio pamoja Komandoo Lijenje. Hawa wanajua kila kitu kuhusiana na kesi hii ya mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ