UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI
UKIUKAJI:
Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo.
Mosi, wakati Mwenyekiti anasema kuwa hakuna tatizo Mpiga Kura kutoa fedha kwa Mgombea wakati wa kujieleza; anajuaje kuwa yaweza kuwa ni Mkakati uliopangwa na Mgombea mapema (huko nje) ili kufanya kampeni kwa kujaribu kushawishi Wapiga Kura wengine kuwa ANAYEPEWA TUZO ndiye amejieleza vyema na au mwenye sifa bora kuliko ASIYEPEWA TUZO? Na Wachambuzi makini bado wanashangaa Mtu kutuzwa kwa kueleza jambo ambalo halina uhusiano na ama Majukumu ya Spika / Bunge au Sifa za Mgombea zinazozalanda na majukumu hayo.
Pili, kama aliruhusu TUZO YA FEDHA kwa nini alianza kupiga kelele kwa nguvu zote akisema “HAPANA! HAPANA! ” kama zuio wakati Wabunge fulani waliamua kutoa TUZO YA KIBWAGIZO kwa Dk. Tulia kwa kuimba “Tuna imani na ........”. Ieleweke wazi kuwa msimamo wangu hilo zuio lilikuwa sawa kabisa!
USHAMBA:
Agnes, Mb alipopewa nafasi ya kuuliza SWALI aliishia kutoa MAELEZO; wakati Mgombea anajibu yeye anaoneka waziwazi akishangilia kwa nguvu kama vile yuko kwenye genge la mipasho!
Mara mbili alisikika akitaja Jina lake kwa ukelele “Agness!” mwenendo usio wa ki-Bunge. Kanuni inamtaka Mbunge kusimama ili Mwenyekiti / Spika akuone na kumruhusu kuongea na sio kuanza kuongea tu kama mtu asiyejua Kanuni wala Taratibu za Bungeni (Ushamba).