Ukiukwaji wa taratibu na ushamba Bungeni katika Uchaguzi wa Spika wa Bunge

Watanzania kwa sasa wana mambo muhimu sana ya kufanya kuliko hayo mambo ya bunge.
Sasa ujue kuwa hata mabadiliko ya Katiba ni Bungeni tu. Elewa umuhimu wa kuweka sawa huu muhimili !
 
Hicho ni kikao cha wana- Ccm...hakuna bunge hapo.
 
Likifanyika jambo lolote la kuvunja katiba au sheria kutoka kwa mtu yeyote aliye upande wa ccm na asichukuliwe hatua wala sishangai au kupinga, course ndiyo mfumo wao waliozoea na hakuna wa kuwafanya lolote.

Acheni maisha yaende, japo kwa uharibifu.
Mataga hamna moral authority ya kuongolea katiba au sheria.
 
Nani aliyewachagua hao wabunge haramu.
Hakuna wabunge pale , tuna bunge la hovyo sana kuwahi kutokea.
 
Kadiri muda unavyozidi kwenda, hii nchi inazidi tu kugubikwa na matukio ya kipuuzi. Hata sijui tunaenda wapi!!
CCM ndio baba na mama wa upuuzi nchi hii, bila kuiondoa ujinga hautaondoka kamwe
 
Huo upuuzi wa bungeni ndio picha halisi ya watanzania, mnalisema bunge ila hamkubali kwamba JF nako kuna upuuzi vile vile.
 
Kwani lile lilikua bunge au kikao cha uchaguzi wa spika?angalia hata kiti cha mwenyekiti hakikua rasmi
Itabidi uende mahakamani kupinga kwa kua taratibu hazikufuatwa
 
Kwani mwenzetu bado una imani na hili bunge. Kwa comedy za jana nafikiri kila mtu anejua tuna bunge na wabunge wa aina gani. Kwa Sasa kile ni kama kijiwe tu.
 
Nionacho hapo ni hafra ya wanaccm na si uchaguzi wa speaker.
 
Kwani lile lilikua bunge au kikao cha uchaguzi wa spika?angalia hata kiti cha mwenyekiti hakikua rasmi
Itabidi uende mahakamani kupinga kwa kua taratibu hazikufuatwa
Asante kwa kunijuza kuwa katika Kikao cha Uchaguzi wa Spika ndipo panaruhusiwa taratibu kutokufuatwa!
 
Mkuu ulitegemea au wategemea bunge la chama kimoja kuja na kitu tofauti, ni unabatili tu ndo utakaoendea mpaka Yesu atakapo shuka, lakin twende tu soon yanamwisho,2025 sio mbali
 
Unashangaa nini wakati hilo ni kundi la wezi wa kura! Wezi wazoefu hao sasa wanaibiana wao kwa wao.
 
Sa tufanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…