Ukiumwa nenda Hospital acha kujifanya Daktari Mwanafunzi

Kwa hio mkuu ukaingia humu ukabeba nondo za Carlos The Jackal na wengine ukazama famasi kwenda kuchukua dawa?
Nilichukua dawa humu watu wanaandika dawa bila maelezo utakuta kaandika Acyclovir tumia hio hakwambii hio dawa inatibu nini au inatibu ugonjwa gani au ni dawa ya nini, wasiojua wanaenda kweli kununua km mimi kumbe wanatafuta matatizo mengine
 
Dawa za watoto ndio huwa zinanichanganya sana, unakuta dawa imeandikwa atumie mtoto mwenye Umri flan pharmacy wqnakupa dawa ya mwenye to faut ukatumie kwa mwanao
 
Hayo mambo nilishawahi tumia SP kujitibu malaria baada yakupons nskuzijua nilicheka sana
 
Nilichukua dawa humu watu wanaandika dawa bila maelezo utakuta kaandika Acyclovir tumia hio hakwambii hio dawa inatibu nini au inatibu ugonjwa gani au ni dawa ya nini, wasiojua wanaenda kweli kununua km mimi kumbe wanatafuta matatizo mengine
Hio inatibu Herpes muulize Mwl.RCT Herpes ni nini atakuelezea
 
Hayo mambo nilishawahi tumia SP kujitibu malaria baada yakupons nskuzijua nilicheka sana
Ulitumia kujitibu malaria dawa za kuzuia usipate ujauzito, unajua watu wanaropoka tu dawa unashangaa umepewa dawa ya shingo ya kizazi
 
Back
Top Bottom