Nilichukua dawa humu watu wanaandika dawa bila maelezo utakuta kaandika Acyclovir tumia hio hakwambii hio dawa inatibu nini au inatibu ugonjwa gani au ni dawa ya nini, wasiojua wanaenda kweli kununua km mimi kumbe wanatafuta matatizo mengineKwa hio mkuu ukaingia humu ukabeba nondo za Carlos The Jackal na wengine ukazama famasi kwenda kuchukua dawa?
Hio inatibu Herpes muulize Mwl.RCT Herpes ni nini atakuelezeaNilichukua dawa humu watu wanaandika dawa bila maelezo utakuta kaandika Acyclovir tumia hio hakwambii hio dawa inatibu nini au inatibu ugonjwa gani au ni dawa ya nini, wasiojua wanaenda kweli kununua km mimi kumbe wanatafuta matatizo mengine
Uzi gani tena huo mkuu?