Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Panadol ni kwa ajili ya maumivu ya kichwa na misuli, na njaa ni tumboni sio kichwani, kitendo cha kunywa dawa wakati una njaa unajitafutia balaa kubwa hasa vidonda vya tumbo.Husika na kichwa cha habari hapo juu....
Njaa ikiuma ukimeza panadol njaa itapona? Maana yote ni maumivu...
Ukiwa abnormal usiji changanye na wenye akiriHusika na kichwa cha habari hapo juu....
Njaa ikiuma ukimeza panadol njaa itapona? Maana yote ni maumivu...
Pain killer ni kwaajili ya kutuliza maumivu,
Je njaa ni sehemu ya maumivu?
Mtoa mada anasema umeme ukikatika weka mafuta ya taa kwenye balbu!!!!Yaani hii ni sawa na gari inawaka taa ya mafuta, then ww unaongeza maji kwenye rejeta
Tumbo nalo si lina misuli?Panadol ni kwa ajili ya maumivu ya kichwa na misuli, na njaa ni tumboni sio kichwani, kitendo cha kunywa dawa wakati una njaa unajitafutia balaa kubwa hasa vidonda vya tumbo.
Sio akiri ni akili....Ukiwa abnormal usiji changanye na wenye akiriView attachment 934253
Mtu hataishi kwa mkate tu bali kwa neno.....Kwani chakula kiliwekwa ni urembo au ulishaona mbadala wa chakula !!
Kuna alama ya ulizo mwisho....Unatuambia ama unatuuliza?
Hata maumivu ni hisia tu....Maumivu ya njaa ni sawa na ya kichwa, jino n.k? Hunger is a feeling not a pain. Ni sawa na kusema mtu akiwa na nyegezi anywe panadol..hivi ni mimi nimeandika kweli hapa? Haha akili za usiku hizi
Haha mkuu umenichekesha sanaNaona mnamshambulia mtoa mada. Binafsi Imani yangu imenituma kuamini ari inazidi kua ngumu.
Hapa mtaani kwetu kuna watu wanakula Ugali kwa maji!!!
Binafsi, for the first time nimebadirisha laini yangu kuwa ya Mwanafunzi wa chuo na uzee huu baada ya kushindwa kumudu gharama za bando kwa kutoa Hongo!!!
Jiwe kazia hapohapo mpaka Jero iwe mia tano
Njaa inatulizwa na ganziYaani hii ni sawa na gari inawaka taa ya mafuta, then ww unaongeza maji kwenye rejeta