Ukiumwa njaa ukitumia painkiller njaa inakata?

Husika na kichwa cha habari hapo juu....
Njaa ikiuma ukimeza panadol njaa itapona? Maana yote ni maumivu...
Ukiwa abnormal usiji changanye na wenye akiri
naijatwittersavages-20181113-0001.jpeg
 
Yaani hii ni sawa na gari inawaka taa ya mafuta, then ww unaongeza maji kwenye rejeta
 
Naona mnamshambulia mtoa mada. Binafsi Imani yangu imenituma kuamini ari inazidi kua ngumu.

Hapa mtaani kwetu kuna watu wanakula Ugali kwa maji!!!

Binafsi, for the first time nimebadirisha laini yangu kuwa ya Mwanafunzi wa chuo na uzee huu baada ya kushindwa kumudu gharama za bando kwa kutoa Hongo!!!

Jiwe kazia hapohapo mpaka Jero iwe mia tano
 
Maumivu ya njaa ni sawa na ya kichwa, jino n.k? Hunger is a feeling not a pain. Ni sawa na kusema mtu akiwa na nyegezi anywe panadol..hivi ni mimi nimeandika kweli hapa? Haha akili za usiku hizi
 
Hata maumivu ni hisia tu....
Kama misuli/mishipa inayopeleka taarifa kwenye ubongo kuwa una njaa ikipigwa gani huwezi kusikia njaa....

Uliwahi kuona mtu yupo kwenye operation anahisi njaa????
 
Naona mnamshambulia mtoa mada. Binafsi Imani yangu imenituma kuamini ari inazidi kua ngumu.

Hapa mtaani kwetu kuna watu wanakula Ugali kwa maji!!!

Binafsi, for the first time nimebadirisha laini yangu kuwa ya Mwanafunzi wa chuo na uzee huu baada ya kushindwa kumudu gharama za bando kwa kutoa Hongo!!!

Jiwe kazia hapohapo mpaka Jero iwe mia tano
Haha mkuu umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom