Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hata maumivu ni hisia tu....
Kama misuli/mishipa inayopeleka taarifa kwenye ubongo kuwa una njaa ikipigwa gani huwezi kusikia njaa....
Uliwahi kuona mtu yupo kwenye operation anahisi njaa????
Inasaidia sana mkuu ..
Meza kama kumi na tano hivi ..
Njaa inapona hapo hapo ...
Mi toka jana sijala ...
Jibu unalo!!Mtu hataishi kwa mkate tu bali kwa neno.....
[emoji22]Pole sana mama Swalehe hajakupikia?
[emoji22]
Ukimwona Mikwara Ya Andunje anauza bagia nshtue ...Haha pole weee
Ukimwona Mikwara Ya Andunje anauza bagia nshtue ...
Ninunulie na barafu ya 50Usijali nikimuona nitakununulia
Usijali mtoto mzuriNinunulie na barafu ya 50
Na andaziUsijali mtoto mzuri
Na andazi
Na big bom
Kachor
Sambusha
Juis ya azam
Tikiti
Na chips
Unaweza ukawa umeuliza na hujaweka question mark(?)Kuna alama ya ulizo mwisho....
There you are.... lakini balimi si panadolUkinywa ata beer tu unashiba sababu balimi 1 ni sawa na chapati 5