Ukiumwa njaa ukitumia painkiller njaa inakata?

Ukiumwa njaa ukitumia painkiller njaa inakata?

Ndio lakini njaa huwa haiumi tunakosea tu kusema
Hata maumivu ni hisia tu....
Kama misuli/mishipa inayopeleka taarifa kwenye ubongo kuwa una njaa ikipigwa gani huwezi kusikia njaa....

Uliwahi kuona mtu yupo kwenye operation anahisi njaa????
 
Hata kama maisha magumu hapa nchini hebu tujitahidi kukemea mawazo ya ajabu kama ya huyu mtoa mada.
 
Back
Top Bottom