Nasema hivo kwa sababu zifatazo:
Kwanza mara tu baada ya Rais Samia kuingia alifanya mabadiliko bandarini akidaiwa kuwa Kakoko ni fisadi na akawekwa chini ya uchunguzi ambao mpaka leo hakuna kilichoelezwa kwa undani tofauti na propaganda! Naweza kuamini kuwa Kakoko alitolewa pale kutokana na msimamo wake tayari kuhusu bandari ya BAGAMOYO amabayo alikuwa anaipinga sana!
Pili Rais Samia alifanya mabadiliko katika vizara ya ujenzi kwa kumtoa Chamriho hili nalo ukiliangalia kwa umakini Chamriho amekuwa katibu mkuu wa wizara ya ujenzi kwa mda mrefu kwa hiyo katika majadiriano ya bandari pendwa ya Msoga team BAGAMOYO alihusika kwa sehemu kubwa na ukizingatia tayari bandari hiyo ulikuwa ishaanza kupata mkwamo team ikaoma hata huyu Eng Chamriho anaweza kuwa kikwazo akawekwa pembeni bila sababu zenye mashiko!
Tatu ukitizama mabadiliko ya hivi karibuni ya kumtoa Kalemani bado utagundua mi mwendelezo wa kuwaondoa watu waliokiwa na msimamo wa kizalendo juu ya mikataba mibovu, hapa unaweza kuona Waziri wa sasa Makamba akifanya mikutano mingi na wawekezaji katika sekta ya gesi, kwa upande mwingine licha ya makamba kupingana na ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere lakini bado kupewa uwaziri ili kutimiza mision ambayo tayari ishapangwa na watawala ya awamu hii ya Sita hususani kwenye eneo la Gesi,eneo ambalo awamu ya nne ilituletea janga kubwa kwa mkataba wa ovyo wa gesi ya mtwara ambayo hata wana Mtwara wenyewe hawajui inafaida gani mpaka leo!
Nne mda si mrefu mtaona mabadiliko pia katika wizara ya nishati na madini sio kwa sababu waziri ni mbovu ila kwa sababu kuna vitu haviendi sawa vya kundi fulani la watu! Siku za hivi karibuni Waziri Biteko amekuwa akishutumiwa kwa ufisadi usio bayana akihusishwa pia na upotevu wa tanzanite kule mererani n.k yote hayo ni dalili kuwa hatakiwi kwenye hiyo wizara na bila shaka Waziri Mchengerwa amabaye huko utumishi alidokeza kuhusu uchunguzi juu ya wizara hii!
Hitimisho,Ikumbukwe kuwa nchi hii sio ya CCM na Sio ya team Msoga, haya yote yanayofanyika ya kuja kuwadanganya watanzania hususani kwenye mradi wa bandari ya BAGAMOYO ni hatari kubwa kwa hapo baadae kama yatafanyika bila umakini mkubwa,Serkali hii asidhanie kuwa watanzania ni wajinga kiasi hicho cha kuruhusu ujenzi wa bandari ambayo utaathiri bandari zetu hususani bandari ya Dar es salaam!