- Thread starter
- #41
Hivi nikuulize umaweza kufanya jambo bila fikira? Basi wewe tayari si binadamu mwenye utashi maana unanitaka niandike bila fikira kitu ambacho siwezi! Na ushahidi unataka lakini mi nimekupa ushahidi ya kimazingira!hapo ndipo ninapokuja na kukwambia hebu dadavua strong points ili hoja yako ilete maana na kuclick kwenye vichwa vya watu...
Unapoanza kusema unafikiri ooooh unajua, tayari ni vitu vya kufikirika ambavyo tunaweza pia kufikiri vinginevyo kama issue ni kufukiri tu....kufikiri kuna negative na positive...