msonobali
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,521
- 1,607
Tutalumbana humu na kuumizana vichwa bila kujua adui Ni Nani? Hawa jamaa wanafanya hayo wanayoyafanya kwa sababu ya sheria zilizopo kwanza zinawaruhusu pili zina kinga hata akikosea asishtakiwe, ndo maana wanakosea makusudi wakijua hatuna cha kuwafanya
ADUI YETU NI KATIBA
ADUI YETU NI KATIBA