Ukiunganisha dot ndo utaelewa: Alitolewa Kakoko bandarini akatolewa Chamriho ujenzi, akatolewa Kalemani Nishati n.k

Kuna familia imegeuka kansa kwa Taifa hili.

Nchi inahitaji kuondokana na watu hawa ambao wameigeuza nchi mali ya familia.

Ipo haja ya kuondokana na laana hii.
 
Kuna mtu alisema sisi ni Wadanganyika. Kama inathibitika vile!
 
Kuna mtu alisema sisi ni Wadanganyika. Kama inathibitika vile!
 
Serkali hii asidhanie kuwa watanzania ni wajinga kiasi hicho cha kuruhusu ujenzi wa bandari ambayo utaathiri bandari zetu hususani bandari ya Dar es
Utaifanya nini serikali? Kwa katiba hii rais anaweza kuwaua wasukuma wote na bado asishitakiwe popote.
 
Hakuna anayeota hapa! Akili kubwa ndo inaweza kung'amua haya mambo akili kisoda kajadili mapenzi!

Ile miradi mikubwa ya mkakati yaani SGR na Bwana la Nyerere pamoja na ununuzi holela wa Ndege ni mzigo mkubwa sana kwa nchi kiasi kwamba DENI LA TAIFA limepaa kufikia matrillioni ya shillingi!!! Kwa watu wenye busara wazio wabinafsi;wenye mapenzi ya nchi yao na watu wake ,wangetuliza akili na kutopigia debe hiyo bandari ya Bagamoyo na ununuzi wa ndege mpya!!!

Kutekeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo nikutokuwa na uelewa wa uchumi bali kutekekeleza personal interests za watu binafsi!! Mkijenga hiyo Banadari kwa jeuri yenu mjue kuwa mtakuwa mnawaongezea mzigo wananchi kuwa na madeni makubwa kwa CHINA ambayo baadae wanaweza kuja kutumia kuitaifisha miradi hiyo kwa kushindwa kuwalipa; ingawa wakati huo wengi wa wanaoupigia debe mradi huu wanatakuwa wameondoka!!
Tafadhali viongozi msijifikirie nyie tu bali pia muwaonee huruma wajukuu zenu watakaokabwa na wachina kulipa haya madeni. Inapokuja kwenye kulipa madeni yao WACHINA hawana msalie mtume na ndio maana hivi sasa wanatishia kukamata viwanja vya ndege huko Uganda na Zambia!!
 
Waziri Mwambe amefikia hatua yakuwadanganya watanzania kuwa hakuna mkataba wowote uliowahi kusainiwa!!
Hawa watu wanadhani nchi hii ni ya malkia hangaya na wapambe wake peke yao.
 
Wacha tuendelee kupigwa tu, tumeipenda wenyewe CCM, wacha wavune shamba la bibi hili. Tuache wivu.
January mpigaji...
JK mpigaji....
Hangaya mpigaji....
JPM mpigaji.....
 
kakoko wako hakua na elimu yoyote kuhusu bandari zaidi alikua mhandisi tanroad akiwa chini ya wwizara ya mwendazake
 
Bandari ya bagamoyo ijengwe!! Mbona Chattle Gbadolite Airport ilijengwa ambayo haina faida hata nukta?
 
Kwani hiyo bandari itakayojengwa sio yetu?
Bandari itakuwa mali ya wachina kwa 100%. Na watanzania tutakuwa manamba wa kutumikishwa kazi ndogo ndogo za suluba.
Kifupi wachina wanakwenda kumilikishwa ufukwe karibu wote wa Bagamoyo kwa karne moja. Atakayekuja kulalamika kuwa tulipigwa na kwa upumbavu wetu tukashindwa kupachimbisha ni vitukuu vyako na sio mjukuu wako.

CCM Oyee
 
Mama kafanya vizuri kufukuza hayo mapuuzi,yalitaka kumkwamisha kwenye ajenda zake za kuleta mabadiliko yenye tija
 
Hahahahaha, kosoeni ila kwa staha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Mfalme wa chato kukosolewa ndio alikuwa hataki kabisa....Kaeni kwa kutulia mama ana miezi nane(8) tu..
Mlishindwa kutumia hiyo staha kwa magufuli mama yenu ndo mnata tuitumie jibu ni never.
 
Kuna familia imegeuka kansa kwa Taifa hili.

Nchi inahitaji kuondokana na watu hawa ambao wameigeuza nchi mali ya familia.

Ipo haja ya kuondokana na laana hii.
Vipi ulipata NOAH yako , au unaendelea kusikilizia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

acha uchadema pembeni zungumza kitu cha maana . mbowe ni gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…