Ukiuona utupu wa ajuza utalaanika?

yaan ako kabibi kanajidhalilisha sa kwani akivua nguo ndio atapewa pesa?afu ya kizee sipati picha ilivununa.........
 
omg! this granny and her son need to see a shrink asap.. stripping nude does NOT solve anything...
Im glad Im not related to them, it's total humiliation..


she is an attention wh0re

[MENTION]blaine n kurt[/MENTION] I subscribe to your views.........
 
yaan ako kabibi kanajidhalilisha sa kwani akivua nguo ndio atapewa pesa?afu ya kizee sipati picha ilivununa.........

ummu kulthum haya ndiyo mavuno ya kuthamini pesa kulikoni utu wa mwanadamu
 
Last edited by a moderator:
mkurugenzi, hii rangi inaumiza kusoma....

BADILI TABIA......................nimeipenda avatar yako ingawaje nayo iko mbali haionekani vizuri.............
 
Last edited by a moderator:
kumbe hii staili ya kupeana laana bado inatumika-huyo mama naona anafaham kichwa ya mwanae wa kiume ndo mana kafwata amri

Edward Teller huoni hiyo familia yenywe imelaaniwa?
 
Last edited by a moderator:
Hii kenya wazee wamekuwa nì vituko mara huyu kuvua kwa ajili ya kudai kodi,mwingine anataka kupigwa mtama na vijana ama kweli dunia imekalibia kufika mwisho.

:->ALWAYS A BIG LIAR SHOULD HAVE A BIG MEMORY:-"

elly_black siyo Kenya tu hata kwetu yapo tofauti wenzetu hawaoni soo kuyaripoti...........
 
Last edited by a moderator:

Kyaiyembe uchi wa mzazi haupaswi kuonyeshwa na akiuonyesha hata yeye ana laana.................atafute njia nyingine ya kumaliza maumivu aliyonayo.............
 
Hata kuko nitokako hii dhana ipo.
Mzazi akikuvulia nguo ni laana.

Kama ni kweli au si kweli inafanya kazi sijui, ila siwezi jiweka mazingira ya mzazi kufikiria kunifanyia hivi.

Kongosho huyo mzazi lazim aziew zimefyatuka kidogo..................na kwa hiyo laana yake isiwe na mantiki....ila nifahamuvyo ukikusudia kumchungulia mzazi wako bila ya yeye kukusudia basi utakuwa amejilaani mwenywe...........na yeye akikusudia kukuonyesha utupu wake basi naye kajilaani mwenyewe...............hatupaswi kushusha thamani ya utu wetu hata kwa faranga zote zilizopo duniani................
 
Last edited by a moderator:
kijana alikuwa na maana ya kumpiga
sizani kama ni ulivyoelewa mkuu.


Mamndenyi kwenye hiyo nyekundu ni uthibitisho wa ya kuwa yule mtoto wa kiume aliweka wazi hadharani ya kuwa anataka kumshughulika mama'ke mzazi hasa aliposema unajua haya mambo niliyaanza nikiwa mdogo ......hivi mambo haya ni kumpiga mama'ke kama ulivyoelewa? ..Au kumpiga mtama..............
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ipo kule kwetu hasa sehemu za mpakani na kenya
wanaita 'nguma' anavua au anapandisha kabisa nguo zote kisha anakuinamia
bila shaka ni imani, lakini ni laana kama imefanyika bila maoneze.

Mamndenyi mpaka anakuinamia wewe bado unasubiri nini kama siyo kukimbia......with the agility of a deer?
 
Last edited by a moderator:

Kyaiyembe ninashukuru kwa kuniondolea hizi lawama............
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri hii ya kutishia utupu, Kenya imekuwa kama ni order of the time.

Kaunga kunakutishia na nguo zote ajuza kesha zivua?
 
Last edited by a moderator:
Walilipwa?Au the plan din't work?

Eiyer how comes the plan from evil ever work? Sababu ya mpangaji kushindwa kulipa ni kuwa hana chapaa sasa umjie na kanzu au baibui au utupu au hata na silaha hana uwezo wa kukulipa..........period......sababu za kushindwa kukulipa hazina uhusiano na hatua za mwenye pango zaidi ya kumtimua tu kwenye pango lake........
 
Last edited by a moderator:
Nimeisoma hiyo news ila kuna sehemu umekosea kuelezea.

ni hivi bibi alimvulia nguo mpangaji wake kumdai akiwa na binti yake, mtoto wa kiume akawa anamwambia mama yake avae nguo, mama hakusikia , mama akamgeuzia kibao kijana wake anamtetea mpangaji. kwahiyo kama anamtetea amilipie deni yeye, mama akampandishia hasira kijana wake , kijana akaingia chumbani kwake, mama akazidi kumpandishia kijana wake huku akimfuata hadi chumbani kwake.

hapo kijana na yeye ndipo alipomtolea uvivu mama yake akamwambia aondoke hapo chumbani kwake haraka na akavae nguo la sivyo atamuonyesha alivyo mahiri sana kwani ameanza siku nyingi sana. kijana akawa kama vile anakwenda kufunga mlango wa chumbani , mama alipoona amechenjiwa na kijana wake, akakimbia akipiga kelele na kupotelea kwenda kuvaa nguo!!
 
Pale kwetu kuna mama alikuwa anaibiwa ndizi na magimbi (sowe) kila mara
alipojua ni watoto wa jirani alichofanya ni kuvua nguo na kuzunguka mipaka ya
shamba huku akipiga debe tupu akisema mtoto wa fulani lazima utakufa
kwa kuwa umefanya so and so,

Baada ya miaka zaidi ya 20 nasikia ile familia ya yule jirani watoto
wote wamekufa. Nilipoambia hivyo nilikumbuka mimi japo najua watu
hawawezi kukumbuka hiyo kitu. Kwa hiyo nataka kusema kuwa
laana huwa inakuja hata kama ni baada ya miaka mingi kupita.
 
Hyou bibi ana msongo wa mawazo..huwezi vua nguo kwa kudai kodi si atafute 'Majembe' wa Kenya wamsaidie kazi..!
 


JIBU Ulikuwa nalo! ujumbe tumeupata
 
hehehe ,, kuna watu wamepinda hapa duniani.. amepata kitu gani sasa huyo mama zaid ya kuaibika na malipo hakupata ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…