Ukiutazama Utawala wa Rais Magufuli kwa upande mwingine unatoa somo kali sana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa

Baada ya uchaguzi 2015 wakina January na Nape walijitapa kwa kila namna kufanikisha bao la mkono na Nape alienda mbali na kutengeneza muswada hatari wa habari ila wote wamekuja kutimuliwa kama mbwa na waliyemtukana Lowassa ndiye yupo na Magufuli wanakula mema ya nchi.

Kangi Lugola na Kapilimba tuliwashutumu sana juu ya kushambuliwa kwa Tundu Lissu utekaji na kupotea kwa watu lakini hawakusikia mpaka walipokuja kuwekwa mtu kati na kutimuliwa.

Kutoka kuwa DG wa TISS kuwa Balozi? Nape, Mwigulu, January kutoka kuwa wezi wa kula na kuwa wapigania kurudi bungeni 2020?

Hata ubunge haupo mwaka huu, tuendelee kuwepo.
 
Juzi bungeni masikini Nape alijitahidi kujikomba kuona kama baba yetu hatamkata MTAMA katika kura za maoni! Tatizo n kuwa baba zao waliwarithisha siasa as if hakuna kazi zingine za kufanya. Damu yao imeshajitune kuwa tunafia kwenye siasa na vyeo!
 
Awamu ya 4 ilikuwa ya kina Nape,Kinana, January na Mwigulu ila sasa ni Bashiru,Polepole, Musiba na Makonda

Kweli 'kila kitabu kina kurasa zake'.
 
Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa

Baada ya uchaguzi 2015 wakina January na Nape walijitapa kwa kila namna kufanikisha bao la mkono na Nape alienda mbali na kutengeneza muswada hatari wa habari ila wote wamekuja kutimuliwa kama mbwa na waliyemtukana Lowassa ndiye yupo na Magufuli wanakula mema ya nchi.

Kangi Lugola na Kapilimba tuliwashutumu sana juu ya kushambuliwa kwa Tundu Lissu utekaji na kupotea kwa watu lakini hawakusikia mpaka walipokuja kuwekwa mtu kati na kutimuliwa.

Kutoka kuwa DG wa TISS kuwa Balozi? Nape, Mwigulu, January kutoka kuwa wezi wa kula na kuwa wapigania kurudi bungeni 2020?

Hata ubunge haupo mwaka huu, tuendelee kuwepo.
Tatizo la siasa za nchi nyingi za Afrika, wananchi wengi wanaangalia watu, badala ya kuangalia sera.

Nilitegemea kusoma jinsi sera za serikali ya Magufuli zinavyotoa somo.

Nikakuta msururu wa majina ya watu waliokuwa katika serikali na sasa hawapo.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom