technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Juzi bungeni masikini Nape alijitahidi kujikomba kuona kama baba yetu hatamkata MTAMA katika kura za maoni! Tatizo n kuwa baba zao waliwarithisha siasa as if hakuna kazi zingine za kufanya. Damu yao imeshajitune kuwa tunafia kwenye siasa na vyeo!Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa
Baada ya uchaguzi 2015 wakina January na Nape walijitapa kwa kila namna kufanikisha bao la mkono na Nape alienda mbali na kutengeneza muswada hatari wa habari ila wote wamekuja kutimuliwa kama mbwa na waliyemtukana Lowassa ndiye yupo na Magufuli wanakula mema ya nchi.
Kangi Lugola na Kapilimba tuliwashutumu sana juu ya kushambuliwa kwa Tundu Lissu utekaji na kupotea kwa watu lakini hawakusikia mpaka walipokuja kuwekwa mtu kati na kutimuliwa.
Kutoka kuwa DG wa TISS kuwa Balozi? Nape, Mwigulu, January kutoka kuwa wezi wa kula na kuwa wapigania kurudi bungeni 2020?
Hata ubunge haupo mwaka huu, tuendelee kuwepo.
For sure except death itself.Nothing is permanent!
Tatizo la siasa za nchi nyingi za Afrika, wananchi wengi wanaangalia watu, badala ya kuangalia sera.Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa
Baada ya uchaguzi 2015 wakina January na Nape walijitapa kwa kila namna kufanikisha bao la mkono na Nape alienda mbali na kutengeneza muswada hatari wa habari ila wote wamekuja kutimuliwa kama mbwa na waliyemtukana Lowassa ndiye yupo na Magufuli wanakula mema ya nchi.
Kangi Lugola na Kapilimba tuliwashutumu sana juu ya kushambuliwa kwa Tundu Lissu utekaji na kupotea kwa watu lakini hawakusikia mpaka walipokuja kuwekwa mtu kati na kutimuliwa.
Kutoka kuwa DG wa TISS kuwa Balozi? Nape, Mwigulu, January kutoka kuwa wezi wa kula na kuwa wapigania kurudi bungeni 2020?
Hata ubunge haupo mwaka huu, tuendelee kuwepo.
Naona unanung'unika tu kama mwari alietoswa na MchumbaHata ubunge haupo mwaka huu, tuendelee kuwepo.