Hapana, haiwezekani kabisaMfano gari umeiuza ikiwa na bima iliyobaki miezi 10 hadi kuisha.
Je unaweza kuhamisha bima kwenye gari lengine lisilo na bima au kucancel bima na kuomba fidia ?
Huo ni wizi. Bima ina uhusiano na aliyeinunua, ili kumkinga yeye,mali yake, na watumia mali yake iweje isihamishike wakati alichokiwekea hiyo bima siyo chake tena? Wizi!!Hapana mkuu hauwezi
Labda ni kwa Tanzania lakini nchi nyingine wanaruhusu,Hapana mkuu hauwezi
Labda ni kwetu Tanzania lakini nchi nyingine wanaruhusu,Hapana, haiwezekani kabisa
Labda ni kwetu Tanzania lakini nchi nyingine wanaruhusu,Huo ni wizi. Bima ina uhusiano na aliyeinunua, ili kumkinga yeye,mali yake, na watumia mali yake iweje isihamishike wakati alichokiwekea hiyo bima siyo chake tena? Wizi!!