Connection ni tourism ikirudi jiingize huko, au nenda ughaibuni. Mimi niliishi nao abroad. Kule ma-blacks tunagombaniwa unakuta miji mingi mko wachache sana na tunawapa mademu wa kizungu penzi balaa kwa hio wanatupenda balaa. Kama umewahi kusikia msemo "if you ever go black, u will never go back" unamaanisha.. mzungu akishaonja kitu ya black, kwa asilimia kubwa hataki wazungu wenzake tena. Japo wangu mie alikuja olewa na white mwenzake tu. Hehehe.
Nilimpenda sana. Na tena nilipokuwa naye sikuwa natamani hata demu wa kibongo. Penz likuwa kali sana. Kwa hio nilikuwa committed sana. Tatizo ni kuwa controlled tu. Yani kila kitu anataka ni yeye aamue. Mimi sina sauti kabisa. Mimi hapo ndio nikashindwa.Hukuwa na commitment mzee
Wazungu wanapemda.mahusiano serious na na yenye commitment .
Sasa mzee wa kusugua Gaga ndio maana umemshindwa[emoji1]
Wivu ni mzuri. Utumie ukusaidie kupambana upate unachokitaka maishani. Kama ni demu mzungu ndio hizo processes. Inawezekana.Daah nakuonea wivu sana maninerrrr zangu
Yani hujasema hata unataka nini tayari unachezea marungu ya utosiMatatizo yake yote anakulundikia wewe
Sasa unataka akuvumilie nini na hata kumuoa huwez? Michepuko yote ipo after money we fulia tu uone Kama utakaa umpate yeyote, wake zenu tuuu ndo hata akitoa hela anajua mnasaidiana na watoto% kubwa ya wanawake ni wabinafsi kuna mmoja mpaka ilipidi nimpige chini kwa hasira japo alikuwa mchepuko tu lakini nikianza nae kitambo sanaa tangu niko chuo wao ni family friend mpaka nikipokuja kuoa bado nlikuwa namega kisela tatizo lake ndo km hivyo ni mfanyakaz serikalin lakin ukimpanga apoint au akufate mkoa ulipo basi hata akitumia nauli yake atataka umrudishie hata akitumia boda ya buku atataka buku lake lirud nilivumilia yakanishinda nkamchana live siku moja nkapiga chini mazima
Sasa Kwanini yeye anataka pesa kwangu while partner imebase kW sex lakin yeye ukimuomba annaruka mita miaHuyo ni co-partner si soul mate. Partnership yenu imebase kwenye sex.
Hahahahah. HatariWanaume wa kisasa wakipeana michongo ya kuolewa na wazungu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣warere,,mtu umeolewa unahudumiwa kwa kila kitu halafu unajitutumua hutaki kupelekeshwa!!!
Mwanaume utakula kwa jasho nawe mwanamke utazaa kwa uchungu,,,, najikumbushia tu
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji1787] naona umetamani position ya mzungu [emoji14][emoji14][emoji3577]Wanaume wa kisasa wakipeana michongo ya kuolewa na wazungu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]warere,,mtu umeolewa unahudumiwa kwa kila kitu halafu unajitutumua hutaki kupelekeshwa!!!
Mwanaume utakula kwa jasho nawe mwanamke utazaa kwa uchungu,,,, najikumbushia tu
Badili mtazamoUtamuombaje hela mwanamke wako?
Mimi hata nikiwa na matatizo mazito simwambii mwanamke wangu.bora nife nayo lakini si kumwambia najua mwanamke Hana msaada kwenye matatizo ya mwanaume.
Kaoleweni sijawazuia Tena mkikosa wazungu wanawake mtafute wanaume Kama nyie,, kila mutu ashinde mechi zake[emoji14][emoji14][emoji14][emoji1787] naona umetamani position ya mzungu [emoji14][emoji14][emoji3577]
Mlaumu dingi ako Hana private jet[emoji1787][emoji1787][emoji14][emoji3577]
Swali kwako mdada. Kwa hio kama mwanaume anamhudumia mwanamke kwa kila kitu ana ruhusa ya kumpelekesha anavyotaka yeye mwanaume?Wanaume wa kisasa wakipeana michongo ya kuolewa na wazungu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣warere,,mtu umeolewa unahudumiwa kwa kila kitu halafu unajitutumua hutaki kupelekeshwa!!!
Mwanaume utakula kwa jasho nawe mwanamke utazaa kwa uchungu,,,, najikumbushia tu
Inaonekana umeumia sana[emoji1787][emoji1787]Kaoleweni sijawazuia Tena mkikosa wazungu wanawake mtafute wanaume Kama nyie,, kila mutu ashinde mechi zake
Ukiolewa aliekuoa anakuwa na wajibu wa kukuhudumia kwa kila kitu, kula bata nk hivyo basi unatakiwa uwe na adabu kwa aliyekuoa,Swali kwako mdada. Kwa hio kama mwanaume anamhudumia mwanamke kwa kila kitu ana ruhusa ya kumpelekesha anavyotaka yeye mwanaume?
Inaonekana umeumia sana[emoji1787][emoji1787]
Tunataka wanawake wa shoka 50/50 sio ndio mnayotakaga
Acha wivu ukitaka na wewe tafuta danga la kizungu[emoji1787][emoji1787][emoji3577][emoji14]
Kama unajua anayo unaomba ya nini? Chukua then tembea zako. Ila ukumbuke kuandaa taarifa ya utekelezaji (physical & financial). Hii utaiwasilisha kwenye kikao chenu ambacho kama sijakosea huwa mnakifanya usiku kwenye ukumbi wa ..........Kwanini wanawake wengi ikatokea ukayumba kidogo au ukamwambia mpenzi wangu nisaidie kiasi fulani nitrejesha anasema sina, huku unajua anayo.
Tabia hii inakera sana
Wadada Tz shida yenu dear ni kwamba mtu atakuhudumia kila kitu, lakini bado hamridhiki. Na adabu wala hamuonyeshi kabisa. Mungu atawarehemu tu.Ukiolewa aliekuoa anakuwa na wajibu wa kukuhudumia kwa kila kitu, kula bata nk hivyo basi unatakiwa uwe na adabu kwa aliyekuoa,