Ukiwa Chadema brand ya chama inakubeba lakini ukija CCM lazima " Ufurukute" ndipo utasikika, wahamiaji wajipange!

Ukiwa Chadema brand ya chama inakubeba lakini ukija CCM lazima " Ufurukute" ndipo utasikika, wahamiaji wajipange!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Natoa tu angalizo kwamba Nyerere aliijenga CCM katika uwezo wa mtu na baadaye ndio kikundi. Ndani ya CCM usipofurukuta utasahaulika ndio sababu hata akina Waitara na Mollel wameonekana mapema kwa sababu walijiongeza hata kama ni kwa unafiki.

Chadema wao kwanza waliamua kuijenga brand yao ndio maana chaguzi mbili za mwanzo hawakusimamisha mgombea urais kwa sababu Mtei aliamini katika nguvu ya taasisi. Ndio maana Sumaye, Lowassa na hata Nyalandu wameshindwa kuwa " wakubwa" kuliko Chadema japo walikibeba sana.

Nimalizie kwa kusema kuelekea uchaguzi mkuu Chadema itakuwa jalala la kejeli na matusi lakini hiyo inaweza kuwajenga badala ya kuwabomoa hata kama hawatapata wabunge.

Siikubali Chadema lakini napenda namna wanavyojiamini.

Maendeleo hayana vyama.
 
Kuna watu utawasikia jiwe kafanya hiki,Kafanya kile,kajenga pale,kule....kanunua hiki,kile,na vile...maaadamu wasipomtaja jiwe hawapati rahaa...jiwe,jiwe,jiwe,jiwe....watoto wanalijua jiwe kuliko chama...hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom