johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hilo jamaa anamfadhaiko was akili, yaani simkubali Hadi namwonea huruma binafsiona mtu kama Mwita Waitara amepoteza credibility kila anapogusa anakuta pamoto amebaki anahaha like headless chicken
Kama mlioibeba ninyi??Utabebwa na laanaView attachment 1468480
Hayo makapi huwa yako radhi kuropoka chochote mradi yawafurahishe myapokee huko kwenu, tatizo yanawaogopa, kama yangekuwa huru siku yakiondoka huko kwenu yangeropoka makubwa zaidi ya hayo.Utabebwa na laanaView attachment 1468480