Ukiwa dodoma usikose viwanja hivi ..

Ukiwa dodoma usikose viwanja hivi ..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Kwa sasa Dom bata zimekuwa kibwena kutokana na serikali kuhamia huku.
Kuna platinum 4G
Kuna Royal village.

Kuna waswanu pub ,chimbo linalokuja kwa kasi hapa utamkuta baba mzazi Ushimen anatafuna kuku.

Kuna Chako ni chako ,hapa ni spesho kwa kuku watamu usije tu jing'ata kisogo..pia kuna nyapu za kutosha hapo.

Kuna kisasa Capetown complex lounge sheli
Hapa ni sehemu inayokuja kwa kasi sana ..majuzi kati alikuja bibie zuchu wa usafinj.

Kama unataka kucheza magoma basi usikose sehemu hizi zifuatazo.
Club 7 , hii kwa sasa imeboreshwa zaidi kila kitu .imekuwa bab kubwa.
Utamkuta DJ stevow akiwasha moto.

Pia kuna malaika annex ..hapo napo sio pa mchezo mchezo
Hapa huwa namsave kugonga ngoma mbili tatu one deck mwanangu wa hapo.

Yote yote hapa pestana lounge sio pa kukosa kabisa ..
Muziki upo wa viwango vya 5G
Hii ipo uzungunj karibu na kwangu image .
Kuna madj wakali
Kama vile dj k vee atatoa ladha za kibongo na Kongo

Dj full G atakupa ladha za kwaito/ amapiano na trap.

DJ chillah the baddest atakupa naija fravoul za moto.

Dodoma pamenogaa
 
Vipi kuhusu wimpy na Zunny ice cream center?
 
Chako ni chako sasa hivi wamewadhibiti wale makahaba hawapo kama awali
 
Bar kubwa dom kwa dar ni pub tu,mfano hiyo pestana,sijui royal vyote ni vipub
 
Back
Top Bottom