Kumbe kuna wake za watu hamsemi?Kwa maajabu yapi uko nayo na wee shosti siwezi katu kuwa na mwanaume km mwanamke yani mke wa mtu
Njooni mnipige,Hiyo kauli yako ya “mke wa mtu” itakucost we single mother
Weengi sana hata kwenye huu uzi wamejaa tele, kumbuka mke wa mtu sumuKumbe kuna wake za watu hamsemi?
Wengine ni stress au kujishuku ili asishtukiweEm achana nae huyo Dear, and stress za maisha, mpotezee.
If wishes were 🐎🐎I wish i could be moderator
🤣🤣🤣🤣 Au sio? Nipende basi.Usijali mwanaume akukikupenda bills hadi za babu yako atalipa 🤣🤣🤣
Wewe tuu unajichelewesha wakati saa hii unatakiwa unalea mapacha wetu doreen na dorothy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Au sio? Nipende basi.
Hatareee tupuuu.Wengine ni stress au kujishuku ili asishtukiwe
Nakaziaaaaa!!! Mwanaume lijari lazima uwe na sura ngumu,
Ahahhahaha daaah taratibu sasa kila mtu ajuedhambi gani mtoto mzuri wewee... em njoo
We ingetakiwa upigwe life ban humu, mtoto wa kiume huwez jisifia mambo kama hayoIf wishes were 🐎🐎