msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 253
- 302
JF mwisho thied ngap kuanzisha?Hivi huwa unaanzisha threads ngapi per day mkuu? Unalipwa?
leo tuHivi huwa unaanzisha threads ngapi per day mkuu? Unalipwa?
Kwani wewe ulitaka kuanzisha ngapi mkuu? Ulivofika ya ngapi ikakukatalia?JF mwisho thied ngap kuanzisha?
Siyo kesi mkuu, hongera una kipaji cha nyuzi 😂😂leo tu
Oyaa palis kwema.??? 🤓🤓🤓niamini kua hapa duniani hakuna kitu kibaya kama kua
muoga
mzembe
maskini
mjinga
mnafiki
jitahidi sana kuuepuka uzembe, uoga, ujinga na umaskini HAKIKA HUTOJUTA
madini hayo nawasilisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe mbona kila sehemu kazi yako ni kulalamika tu ?Hivi huwa unaanzisha threads ngapi per day mkuu? Unalipwa?
acha zako basiSiyo kesi mkuu, hongera una kipaji cha nyuzi [emoji23][emoji23]
saizi nipo bongo land kwanzaOyaa palis kwema.??? [emoji851][emoji851][emoji851]
Nimelalamika na wapi Katunge?Wewe mbona kila sehemu kazi yako ni kulalamika tu ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi huwa unaanzisha threads ngapi per day mkuu? Unalipwa?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimelalamika na wapi Katunge?
Haya mkuu. Karibu mwakaleli huku tyle viazi mbatatasaizi nipo bongo land kwanza
Picha iko wapiNiamini kua hapa duniani hakuna kitu kibaya kama kuawa:
Muoga
Mzembe
Maskini
Mjinga
Mnafiki
Jitahidi sana kuuepuka uzembe, uoga, ujinga na umaskini HAKIKA HUTOJUTA
Madini hayo nawasilisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]