Ukiwa hapa duniani, hakuna vitu vibaya kama hivi

Ukiwa hapa duniani, hakuna vitu vibaya kama hivi

Mulongo na mulozi ni watu wakuchomwa.

MNAFIK SIO MTU SIO BIN ADAMU.
 
niamini kua hapa duniani hakuna kitu kibaya kama kua

muoga
mzembe
maskini
mjinga
mnafiki

jitahidi sana kuuepuka uzembe, uoga, ujinga na umaskini HAKIKA HUTOJUTA

madini hayo nawasilisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Oyaa palis kwema.??? 🤓🤓🤓
 
Niamini kua hapa duniani hakuna kitu kibaya kama kuawa:

Muoga
Mzembe
Maskini
Mjinga
Mnafiki

Jitahidi sana kuuepuka uzembe, uoga, ujinga na umaskini HAKIKA HUTOJUTA

Madini hayo nawasilisha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Picha iko wapi
 
Back
Top Bottom