peaceful boiiii
Member
- Jul 18, 2018
- 61
- 38
na hili la comments ndilo linaongeza furaha maake kuna vichwa humu vina maswali na majibu na kuna watu watata sana kwenye commentsHabari za wakati huu wana Jf naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli nimegundua kitu kikubwa sana tangu niifaham Jf ,nmekuwa nkivutiwa na kuelimika na mambo tofauti tofauti ya kimaisha tunayoshirikishana humu. N raha kutumia Jf ni miongoni mwa chanzo cha furaha kwa kusoma COMMENTS za wana JF hasa kwenye threads zenye utata kuhusu uhalisia na makosa ya kiuandishi [emoji23][emoji23][emoji23]v hakika utajikuta unafurahi.
Jaribu kufanya hvyo kwa kusoma tu COMMENTS za watu bila ata kuchangia mada hakika utaipenda Jf sana.
kuna watu wao ni kuponda tu ππππna hili la comments ndilo linaongeza furaha maake kuna vichwa humu vina maswali na majibu na kuna watu watata sana kwenye comments
Mkuu wewe ni popoma.Habari za wakati huu wana Jf naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli nimegundua kitu kikubwa sana tangu niifaham Jf ,nmekuwa nkivutiwa na kuelimika na mambo tofauti tofauti ya kimaisha tunayoshirikishana humu. N raha kutumia Jf ni miongoni mwa chanzo cha furaha kwa kusoma COMMENTS za wana JF hasa kwenye threads zenye utata kuhusu uhalisia na makosa ya kiuandishi [emoji23][emoji23][emoji23]v hakika utajikuta unafurahi.
Jaribu kufanya hvyo kwa kusoma tu COMMENTS za watu bila ata kuchangia mada hakika utaipenda Jf sana.
huo n mfano tu na kiuhalisia kuna watu hawawez kukaa kmya lakin wapo ambao wapo kimya ila wanasoma threads na komenti zake lakin kuchangia awapendi au awawezMkuu wewe ni popoma.
Sasa kila mtu akikaa kimya bila kucomment tutakuwa tunasoma comments za nani?
Aina ya watu kama wewe mkiwa viongozi unakuwa type ya bashite anayeangalia kesho tu
Unapenda kuchekacheka?
ujumbe umefikahii post yako watu wanasoma alaf wanacheka hahahaa.. na kuondoka bila kuchangia kama ulivyoshauri.
napenda kufurahi sio kuchekacheka
hapana mkuuNikajua unapenda Kuchekacheka.
Yeye akiona tu comments za kuchekesha na zenye utata ndio furaha yake, nadhani ameelez Hisia zakemfano huna furaha kisa njaa inakuuma halafu uje jf
mtu anasema amemhonga demu wake 500000
halafu upate furaha jamanii
mbona mambo ya hovyo hovyo sana
kweli kila mtu ana uelewa wake kwenye kila jambo njaa na huu uzi unahusiana vpmfano huna furaha kisa njaa inakuuma halafu uje jf
mtu anasema amemhonga demu wake 500000
halafu upate furaha jamanii
mbona mambo ya hovyo hovyo sana
kanielewa tofaut kabisaYeye akiona tu comments za kuchekesha na zenye utata ndio furaha yake, nadhani ameelez Hisia zake