peaceful boiiii
Member
- Jul 18, 2018
- 61
- 38
Habari za wakati huu wana Jf naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kiukweli nimegundua kitu kikubwa sana tangu niifaham Jf ,nmekuwa nkivutiwa na kuelimika na mambo tofauti tofauti ya kimaisha tunayoshirikishana humu. N raha kutumia Jf ni miongoni mwa chanzo cha furaha kwa kusoma COMMENTS za wana JF hasa kwenye threads zenye utata kuhusu uhalisia na makosa ya kiuandishi 😂😂😂v hakika utajikuta unafurahi.
Jaribu kufanya hvyo kwa kusoma tu COMMENTS za watu kwenye mada hakika utaipenda Jf sana.
Jaribu kufanya hvyo kwa kusoma tu COMMENTS za watu kwenye mada hakika utaipenda Jf sana.