Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Uzuri wengi mlio comment ni Miccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ni sabuni ya roho. Ukishindwa kutatua matatizo yako binafsi ama ya ndugu ama familia unakuwa kama mjinga mjinga hivi. Kichwa inajawa na stress.
Unakuta mwanaume anaongea sauti ya kike.Sauti nyembambaaa.
Hasa wanaume wengi wakikosa pesa hujikuta wanaongea peke yake barabarani na wanajawa na hasira.
Pesa bhana.Shida sana.
SweetheartAiseee hahahaaa acha utani bwanaaa mwanaume anakuaje na sauti ya kike ghafla bin vuuu....kisa tuu no money lol,.[emoji23]
Ila kama chemchem ya furaha yako ni pesa wallah barabarani utaongea na upepo,.
[emoji28]Sweetheart
mie ndio mashine haisimami kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaPesa ni sabuni ya roho. Ukishindwa kutatua matatizo yako binafsi ama ya ndugu ama familia unakuwa kama mjinga mjinga hivi. Kichwa inajawa na stress.
Unakuta mwanaume anaongea sauti ya kike.Sauti nyembambaaa.
Hasa wanaume wengi wakikosa pesa hujikuta wanaongea peke yake barabarani na wanajawa na hasira.
Pesa bhana.Shida sana.