Ukiwa huna pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri zaidi

Ukiwa huna pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri zaidi

Wakati ukiona moyo unaruhusu nanmaisha yamaruhusu sio tu kukimbia usingle ila kimbia na usega mapema kabisa oa!

Kikubwa ni kuangalia kama malengo yako uliyotaka yamefikiwa au laah!!

Kuna watu hawana hela na wanastable relationships nzuri kabisa, na kuna watu wanazo hela na bado hali ni tete!

Kikubwa uhai, Tuishi tu!
 
Ukiwa huna Pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri kama kijana amabaye ana Malengo na yupo hatua. za Mwanzo za kujitafta

Kwani ukitaka kupima Kama unakopesheka au haukopesheki kopa kipindi ukiwa na Pesa.
Fact bro , but sometimes mwanamke anaplay part kubwa sana
 
Mkuu depression ni mbaya sana ndugu yangu...
 
Kwani kuoa au kuolewa sio hatua za kujitafuta pia?
 
Ukiwa huna Pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri kama kijana amabaye ana Malengo na yupo hatua. za Mwanzo za kujitafta

Kwani ukitaka kupima Kama unakopesheka au haukopesheki kopa kipindi ukiwa na Pesa.
Inaonekana una mambo mengi kichwani mwako haujajipata bado
 
Back
Top Bottom