Msikilize kwanza labda kasikia we tangaline na anataka kukujengea hekalu baharini hehehe!Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
sasa ww unataka kugeuza JF kuwa FB.Kama amekutokea malizana nae huko huko,manake kila ukitakwa ukaja humu itakuwaje?na wale wanaokutaka mtaani plz usiwalete humu.
Nadhani wewe unataka kujitangaza tu kuwa wewe ni lady na kwamba kuna watu wanakutaka. Umeambiwa mambo ya PM hayawekwi hapa, mkatalie huko huko kwenye PM, kama akikukosea haki mshitaki kwa mods huko huko kimya kimya. Mnajaza mathread na kusababisha thread za maana kuingia kwenye second page etc. Sio kila mtu anatafuta wanawake humu, acha upuuzi.As a lady, lazima natokewa.
Cheo, yaani ni noma tupu. To be seduced na limtu huku linakutisha
he he he...huyo waziri jinsia gani? Na alijuaje jinsia yako wakati hata avatar tu haipo
mna mambo jamani...wagawie wale wenzio wanaotafuta mchumba:noidea:
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
As a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.
As a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.