Ukiwa JF acha ujinga

Ukiwa JF acha ujinga

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
Msikilize kwanza labda kasikia we tangaline na anataka kukujengea hekalu baharini hehehe!
 
he he he...huyo waziri jinsia gani? na alijuaje jinsia yako wakati hata avatar tu haipo
mna mambo jamani...wagawie wale wenzio wanaotafuta mchumba
:noidea:
 
sasa ww unataka kugeuza JF kuwa FB.Kama amekutokea malizana nae huko huko,manake kila ukitakwa ukaja humu itakuwaje?na wale wanaokutaka mtaani plz usiwalete humu.

As a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.
 
Msikilize kwanza labda kasikia we tangaline na anataka kukujengea hekalu baharini hehehe!

Hekalu la nini mie mwan chupaki? Kwetu Tanga nyumba za makuti na zina umeme
 
As a lady, lazima natokewa.
Nadhani wewe unataka kujitangaza tu kuwa wewe ni lady na kwamba kuna watu wanakutaka. Umeambiwa mambo ya PM hayawekwi hapa, mkatalie huko huko kwenye PM, kama akikukosea haki mshitaki kwa mods huko huko kimya kimya. Mnajaza mathread na kusababisha thread za maana kuingia kwenye second page etc. Sio kila mtu anatafuta wanawake humu, acha upuuzi.
 
Cheo, yaani ni noma tupu. To be seduced na limtu huku linakutisha

Kwa hiyo hapo mapenzi ni uwaziri wake ama? Maana kama mtu kakupenda kwani ni lazima aseme yeye ni nani? Hata kama muuza mkaa (maana nayo ni kazi) kama umempenda haijalishi. Nionavyo mm huyo ni wale wanatafuta vyeo ili wawanyanyase watu.
 
Nazjaz wewe mtu mzima kama unaona anazidi kukusumbua si umfoward tu kimya kimya kwa mods wampe halali yake... Kama mwanamke mzuri kutongozwa lazima, ila tuache utani hata mimi avatar yako ilikuwa inanivutia sana umbali tu ndo umefanya nisikutafute.... wallah ningekuwa karibu ningekutafuta!!!
 
he he he...huyo waziri jinsia gani? Na alijuaje jinsia yako wakati hata avatar tu haipo
mna mambo jamani...wagawie wale wenzio wanaotafuta mchumba
:noidea:

mleta kwangu huyo.
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life

Kwani anajua jinsia yako?
 
As a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.

Kumbe wewe ni mrembo
Huoni kama ni bahati hiyo kutongozwa na waziri?
Mi naona unatafuta kaujiko flani umetongozwa PM alafu unaleta ishu iwe mjadala sebuleni si mngemalizana huko huko kimya kimya.
 
kwani tatizo nini hujawahi kutongozwa? sasa sisi tukusaidie kumkubali au kumkataa au kisa pm kimya kimya basi usitoe siri za ndani
 
Back
Top Bottom