fikramakini
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 247
- 60
Mkuu, usishangae sana ndio ukomo wa frikra zake ulipofikia hapo.... na kwa kuwa ni ,wamwanachama wa MMU ndio maana unaona na wengine wanaendeleza upupu!Khaaa huyu Nazjaz si ndio alikuja na thread ya JF na FB, sasa na JF anataka kuifanya FB, nimemshangaa sana na nimegundua ni mtu anayependa misifa, mambo ya PM anakuja kuyamwaga hadharani tumwelewaje? Maana nilipoiona heading ya Topic nikajua kuna jambo la maana kumbe ni Personal issue halafu ya kipuuzi, amekoma amuulize mwenzake Suzy hajarudia tena upuuzi kam huu
</p>JF kisima cha burudani, waziri anatafuta nini hapa badala ya kutumikia wananchi..ndo maana nchi yetu ina matatizo mengi sana
Nadhani wewe unataka kujitangaza tu kuwa wewe ni lady na kwamba kuna watu wanakutaka. Umeambiwa mambo ya PM hayawekwi hapa, mkatalie huko huko kwenye PM, kama akikukosea haki mshitaki kwa mods huko huko kimya kimya. Mnajaza mathread na kusababisha thread za maana kuingia kwenye second page etc. Sio kila mtu anatafuta wanawake humu, acha upuuzi.
</p>Jukwaa la mipasho.
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
Bila Shaka huyo ni waziri Sonyo ama Waziri Mahadhi......Waziri Saidi anauza mitumba kule Temeke ninauhakika hana muda na JF
Bila Shaka huyo ni waziri Sonyo ama Waziri Mahadhi......Waziri Saidi anauza mitumba kule Temeke ninauhakika hana muda na JF
kimya kimyaaaaaaaaaaaaaaaaWaziri gani atamtongoza nazjaz bana?, watu wanaoteshwa vikombe huyu kaoteshwa anatongozwa na waziri. haujatongozwa bana, anaetongozwa hasemi.