Ukiwa JF acha ujinga

Ukiwa JF acha ujinga

Thread zisizokua za maana bwana, zinajadiliwa kwa urefu kweli ... inanisikitisha
 
Khaaa huyu Nazjaz si ndio alikuja na thread ya JF na FB, sasa na JF anataka kuifanya FB, nimemshangaa sana na nimegundua ni mtu anayependa misifa, mambo ya PM anakuja kuyamwaga hadharani tumwelewaje? Maana nilipoiona heading ya Topic nikajua kuna jambo la maana kumbe ni Personal issue halafu ya kipuuzi, amekoma amuulize mwenzake Suzy hajarudia tena upuuzi kam huu
Mkuu, usishangae sana ndio ukomo wa frikra zake ulipofikia hapo.... na kwa kuwa ni ,wamwanachama wa MMU ndio maana unaona na wengine wanaendeleza upupu!
 
:lol::lol::lol: raha tele ndani ya JF...aa mbavu zangu mie
haya na mie nitaletea mitongozo yote jamvini ili kuendeleza libeneke hahahah
pole we nazjaz ndo ukome kuweka mambo ya ndani hadharani
ndoa utaiweza kweli wewe??hee!huna siri!!
 
Mkuu, usishangae sana ndio ukomo wa frikra zake ulipofikia hapo.... na kwa kuwa ni ,wamwanachama wa MMU ndio maana unaona na wengine wanaendeleza upupu!

naunga mkono hoja
 
Dah yaani hii thread bado inaendelea kupumua...!! mpaka mtoa mada ajute!!...
 
<p>
JF kisima cha burudani, waziri anatafuta nini hapa badala ya kutumikia wananchi..ndo maana nchi yetu ina matatizo mengi sana
</p>
<p>&nbsp;</p>
sasa jamani atumikie wananchi asahau matatizo yake binafsi?hivi hatujawahi shuhudia waziri akioa in his fame eeh?
 
Nadhani wewe unataka kujitangaza tu kuwa wewe ni lady na kwamba kuna watu wanakutaka. Umeambiwa mambo ya PM hayawekwi hapa, mkatalie huko huko kwenye PM, kama akikukosea haki mshitaki kwa mods huko huko kimya kimya. Mnajaza mathread na kusababisha thread za maana kuingia kwenye second page etc. Sio kila mtu anatafuta wanawake humu, acha upuuzi.


Biashara matangazo!
 
Ooh!am ver sor Nazjaz sijafanya hivyo kwa makusudi ni msukumo wa kimwili na kiroho umepelekea nifikie ha2a hiyo c unajua tangu nitoke Loliondo mahitaji yangu ya kimwili yameongezeka kwa 73% na hata vile vidudu hatari kwisha kabisa na vyet ninavyo so usiogope Nazjaz wangu,Jamani wana Jamii wenzangu naomba msinilaumu kwa kushindwa kuvumilia,mtoto yupo njema kila idara mashaalaah! Maeneo ya kati 41% miguu 11% face 31% usafi 15% smile 2% plus the way she talk tobaaaaaa!acha kubana mtoto weweee....lol.
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life

Bila Shaka huyo ni waziri Sonyo ama Waziri Mahadhi......Waziri Saidi anauza mitumba kule Temeke ninauhakika hana muda na JF
 
tehe tehe tehe tehe tehe. Nilikuwa sitaki kucheka leo, ila imenbd ntabasam japo kdgo!!
Bila Shaka huyo ni waziri Sonyo ama Waziri Mahadhi......Waziri Saidi anauza mitumba kule Temeke ninauhakika hana muda na JF
 
Nazjaz acha wenge we mtoto ucjiingize sokoni kwa nguvu.Waziri gani mpumbavu ashoboke na kivuli ,acha kujitengenezea miujiko yakishamba.
 
Bila Shaka huyo ni waziri Sonyo ama Waziri Mahadhi......Waziri Saidi anauza mitumba kule Temeke ninauhakika hana muda na JF

umenichekesha sana hadi mbavu zangu zote zauma. Wasalimie sana Ukerewe.
 
Mh, kajuaje kuwa wewe ni mwanamke? Manake jina lako hata halielezi wewe ni wa jinsia gani
 
Back
Top Bottom