Ukiwa JF acha ujinga

Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life

We kanazjaz unaonekana bado hujakua vizuri hapa ni kwa GREAT THINKERS usilete maisha ya kitamthilia kama huko ulipokuwa FB. wakati unakandamizwa kizenj mbona huwa husemi? Ujinga wako peleka huko kwa masharobaro wenzako wa FB hapa tunataka MAWAZO YA UKOMBOZI WA NCHI YETU.
 
As a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.

ulipokosea ni kwamba thread yako ni kama status ya fb.. " JF unaongea issue kamili pamoja na ushahidi wadau wachangie.. " nafikiri ndio tafsiri sahihi ya forum
 
As a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.

mkuu.. vipi u sound like ! wewe ndiye mtuhumiwa.. hahaha!
 
As a lady, lazima natokewa

Nadhani umefikisha ujumbe kwa wale wakware wa humu jamvini.... lakini ni juzi tu nilipona msg ya bwana mdogo mmoja anatafuta wanawake wazee nadhani utamfaa sana!!!!!
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
wewe shori unatafuta attention i see......inaonekana uko sokoni hujatongozwa long time.....kutakwa shukuru Mungu wako.....tena kwa mtu kama mie ujue nakupaisha
 
Nimepitia kurasa zote na jumuisho nililopata ni kuwa huyu binti kosa lake ni kuleta PM (mambo ya chumbani) hadharani. Sasa kama kosa ni hilo, si ingetosha kumfahamisha tu? Pengine alikuwa haelewi kipengele cha kanuni hii. Au kuna kosa jengine ambalo nimeshindwa kulisoma katikati ya mistari?
 
kosa kuleta mitongozo hapa. Mbona wenzie tunaichunia.
Hili lisread lifungwe, uchunguzi unaonesha aliyemtongoza naz alikuwa ni sungusungu na sio waziri kama habari ilivyokuja. Poleni mawaziri wote. Endeleeni kulijenga taifa.
CLOSED.
 
Mbona unausema moyo wa mtu hebu angalia join date yake kwanza usije ukasema ni mgeni
 
Mbona unausema moyo wa mtu hebu angalia join date yake kwanza usije ukasema ni mgeni
hehehe hawa wanaosema huyu mgeni nazani wao ndio wageni, hebu waende kwenye profile la huyu mdada halaf waangalie sredi alizoanzisha b4. miongoni mwao ni

-midume inayoniPM
-wiki bila kutongozwa
-na hii ya leo waziri kamtongoza.
khaaaa!

yaani huyu ukifatilia sredi zake unapata formula hii : first name ni "nazjaz" middle name "PM" na surname "kutongozwa"
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life

Well said Nazjaz! Hongera kwa ushujaa, akirudia mu-expose. Atabadililisha maisha kuelekea wapi?
 
ulipokosea ni kwamba thread yako ni kama status ya fb.. " JF unaongea issue kamili pamoja na ushahidi wadau wachangie.. " nafikiri ndio tafsiri sahihi ya forum

Soma hapo juu dada! Ukiamua kumwaga unga mwaga
 
hahahahahaha! Nmependa ulvyopanga hayo majina ya Nazjaz! Hufai wewe!
 
New? JF Senior Expert Member with 447 posts as of this reply??!!Hata kama join date ni Jan,2011... usitetee ujinga!
Kutongozwa inaweza ikawa sifa au kero lakini angewasiliana na mods wamwondolee access ya PM kama inamsumbua. btw, inategemea na yeye anajitetua vipi kwa maongezi huko PM mana mtu hawezi akakutongoza na kukutishia kama vile wewe ni mtoto mdogo.
Kama metongozwa na mwanaume ambaye ni waziri au waziri ambaye ni mwanaume, hiyo ni juu yake na hatukuhitaji kujua.
 
yaani waziri mzima hajui kutongoza?????
mwambie attend tution ya kutongoza
 
I am not supporting 'ujinga' but does she know it ?? And why has the mods leave this thread since it was posted if it has broken any rules???

All am saying is, maybe she doesn't know the rules, let's give her that benefit of doubt...we better argue responsibly and not arguing for the sake of it and to the extent of bellittling(sp) some people

Please google a poem by desiderata....its very inspiring and has taught me a lot about people there is a clip

.... "As far as possible, without surrender, be on good terms with all persons. Speak your truth quietly and clearly; and listen to others, even to the dull and the ignorant, they too have their story. Avoid loud and aggressive persons, they are vexations to the spirit".

kivutiwa nayo you can print and paste it somewhere u can read and get inspired then vitu kama hivi wala havitakusumbua..ni ushauri tu

Mhandisi
 
Whatever the case, huwezi kuniambia hakuweza kumPM hata Robot kama ndio ugeni uusemao tena anavyodai ametishiwa!..

Hata kama hajui sheria zote za JF pia kuleta kitu kinaitwa private message kwenye public forum hakuna mantiki yoyote..

I'm not into poems kama imeku-inspire wewe sidhani kwangu itakuwa the same..Eniwei nisiendelee kubishana na wewe uliejua ku-google mwaka huu!..

Hii ni fundisho kwa wengine pia, kujichetua kwa akili za kijinga.
 
kosa kuleta mitongozo hapa. Mbona wenzie tunaichunia.
Hili lisread lifungwe, uchunguzi unaonesha aliyemtongoza naz alikuwa ni sungusungu na sio waziri kama habari ilivyokuja. Poleni mawaziri wote. Endeleeni kulijenga taifa.
CLOSED.
hahahaha! Sungusungu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…