Ukiwa JF acha ujinga

Ukiwa JF acha ujinga

Whatever the case, huwezi kuniambia hakuweza kumPM hata Robot kama ndio ugeni uusemao tena anavyodai ametishiwa!..

Hata kama hajui sheria zote za JF pia kuleta kitu kinaitwa private message kwenye public forum hakuna mantiki yoyote..

I'm not into poems kama imeku-inspire wewe sidhani kwangu itakuwa the same..Eniwei nisiendelee kubishana na wewe uliejua ku-google mwaka huu!..

Hii ni fundisho kwa wengine pia, kujichetua kwa akili za kijinga.

Thanks for noting that I knew how to google this year !

And I haven't seen any lessons here either to her or others...

The Mods have read it and let it be..why don't u ?

One love

Mhandisi 'aliyejifunza kugoogle mwaka huu...and loving it !'
 
mie sijaona why mnamuatack huyo Nazjaz kama thread mnaiona ni utoto ushamba ujinga si muipotezee tu?

mwaya Naz changamka mabuzi ndio hayoooo yanajileta yenyewe!:tape:

Unajua sheria za Pm au umekurupuka kutetea upupu, Members hawakubaliani na kwenda kinyume na sheria na taratibu za PM!
Mmeanza kwa PM mmalizane kwa PM
kuleta hapa ni kuonesha uhondari wa kutongozwa.
Aonesha basi uhodari wa kukubali pia.
 
Unajua sheria za Pm au umekurupuka kutetea upupu, Members hawakubaliani na kwenda kinyume na sheria na taratibu za PM!
Mmeanza kwa PM mmalizane kwa PM
kuleta hapa ni kuonesha uhondari wa kutongozwa.
Aonesha basi uhodari wa kukubali pia.


Unavunja sheria ya JF pale unapocopy PM na kuipaste ukumbini na itaonyesha imetoka kwa nani.

Nazjaz hajavunja sheria, nadhani watu wamekurupuka tu kwa vile walikariri neno PM katika sheria za JF.
 
Pole Nazjaz, though this wasn't meant for the public,

But I just can't understand a small crowd of JF 'IT GROUP' who always are licenced to either tarnish or florish whoever they wish, and sadly if either of them in that group gives a low opinion, they will sugarcoat it to look nice 'oh why r u angry today babu...'

Guys please...let the lady be, she want to howl to the world as long as she hasn't broken any JF rules..nor has she offended anyone ...she has same thread and priviledge rights..it IRKS me to see people taken apart by same group in almost every single thread..give this lady a break fellas!! And if you don't like it, go to other threads and rant aLl u want!

Peace

Mhandisi wa mifumo na njia kuu za umeme..safarini Mpanda


Seconded.

JF where we dare to talk openly ila kuna baadhi ya watu wanataka kuwafunga wenzao midomo.
 
hehehe hawa wanaosema huyu mgeni nazani wao ndio wageni, hebu waende kwenye profile la huyu mdada halaf waangalie sredi alizoanzisha b4. miongoni mwao ni

-midume inayoniPM
-wiki bila kutongozwa
-na hii ya leo waziri kamtongoza.
khaaaa!

yaani huyu ukifatilia sredi zake unapata formula hii : first name ni "nazjaz" middle name "PM" na surname "kutongozwa"

Japokuwa Klorokwin ni chungu naipenda sana kuliko glucose🙂)ha ha ha
Umenichekesha vibaya!..Sina cha kuongeza, uwe na sunday njema!!
 
Alchokifanya kna tofaut gn na kucopy na kupaste?? Huyo sungusungu alye m PM c ni kwmba altaka wamalzane huko huko? Hv kla m2 akiamka asbh na kuanza kuanika mambo yke ya PM unadhan patatosha kweli? Nini hasa maana ya private??? Sa 2msaidie nini huyu Nazjaz??
Unavunja sheria ya JF pale unapocopy PM na kuipaste ukumbini na itaonyesha imetoka kwa nani.

Nazjaz hajavunja sheria, nadhani watu wamekurupuka tu kwa vile walikariri neno PM katika sheria za JF.
 
Kumbe wewe ni mrembo
Huoni kama ni bahati hiyo kutongozwa na waziri?
Mi naona unatafuta kaujiko flani umetongozwa PM alafu unaleta ishu iwe mjadala sebuleni si mngemalizana huko huko kimya kimya.
Dogo achana nae, nimegundua huyu sio wengi hapa sex zao atujui, atueleze kwanza imekuaje mpaka wantishana, kwa lipi?
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life

Lakini si uliwahi kulalamika siku moja kuwa kuna week ukuwahi kusalimiwa wala kusifia humo majiani, ukaanza kuhisi labda umeanza kuzeeka au nyota yako imetembelewa na mtu...! Sasa watu wanakutokea unalalamika tena.


Source:
Wiki nzima bila kutongozwa
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life

Umejuaje kuwa kawadanganya wengi? teh teh teh Is it right ku asssume alikudanganya kwa alias nyingine so umekuwa mjanja sasa?
 
nmejarb kupitia ile sred yake ya wiki nzima bila kutongozwa, nmegundua huyu Naz co isue, halmashauri yake ya kichwa itakuwa imekata network. Anahitaji maombi ya nguvu cz nahic atakuwa na yale mapepo ya nani hiii....dah hv huwa anawaza nini???
Ujinga mtupu umeona eeehhhhh
 
Hayo ni mawazo yake potofu! Tena ashindwe na alegee. Wa2 2nawaza namna gn 2taikomboa nchi mikononi mwa mafisadi ye ana2letea swaga za uswazi, aende zake bana!
Kwahiyo Freema anataka kusema nyie ni adui wa Nazjaz kwa vile amesema anatakwa na waziri kazi kweli kweli,women you have got issues.
 
Back
Top Bottom