Ukiwa kama mdau wa maendeleo tunaomba utusaidie asasi hii

Ukiwa kama mdau wa maendeleo tunaomba utusaidie asasi hii

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
14,593
Reaction score
5,587
Wana JF asasi isiyo ya kiserikali ambayo inaitwa HIGH LIFE SOCIAL WORKS ORGANIZATION(HILSWO) iliyopo wilaya ya Ruangwa vijijini ambayo inajishughulisha na uhamasishaji wa usimamizi wa mazingira pamoja na kuhimiza elimu kwa watoto wa kike na kiume.Inaomba mdau yeyote liwe shirika,kampuni au mtu binafsi aisaidie vifaa ambavyo vitarahisisha kwenye utendaji wake wa kila siku.Naamini kuna watu kwenye ofisi zao kuna used materials ila zinaweza kuisaidia asasi hiyo au wanaweza kusaidia wapi vitu hivyo vinaweza kupatikana.Miongoni mwa vitu ambavyo asasi inaomba isaidiwe ni

1.Meza za ofisi

2.Viti vya Ofisi

3.Mashine ya Fotokopi

4.Laptop/Desktop

5.Printer

6.Kabat/shelf la kuhifadhia documents

Tungependa mwenye uwezo wa kusaidia hivyo vitu na vingine awasiliane nasi kupitia [email protected]. Au hata kama unamjua mtu au shirika au kampuni inayoweza kutoa msaada huo sio vibaya ukamwambia/ukawaambia wahusika watoe msaada wao.

Asasi ina uwezo wa kusafirisha hivyo vitu hasa kwa kutoka Dar es Salaam-Ruangwa,Lindi

+255713890628
 
Back
Top Bottom