Bapalidako
Member
- Aug 6, 2024
- 79
- 166
Tulipompata Rais wetu Mpendwa Magufuri kalibu kila mtu alilizika, na utendaje wake wa kazi,alijipambanua yeye ni Rais wa wanyonge na alichukia ufisadi na kila mtu aliona na hakucheka na majizi, tulitembea kifua mbele tukijivunia Rais wetu Mpendwa ingawa hakuwatendea wapinzani inavyostairi.
Leo tunaye mama Samia, kwa kweli inchi imemshinda,tunaombeni mlioko juu mumshauri mama apumzike,kama tulikosea sababu ya katiba basi tusindelee kukosea tena kama tunaipenda inchi yetu,atafutwe mwingine atakayetuongoza,hatuweze kuona inchi yetu inaingia Shimoni huku tunaiona,Mama viatu havimtoshi