Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

usinunue nondo endelea kujilandua na makachakacha

kuna kundi la walevi hawa wa no sijui kitu gani naona wanajinyea kwa mafungu mafungu huku mitaani usije ukaungana nao meku
Meku hao wanakunywa sumu na sio pombe bwashee
 
Sasa bila kuhonga utampata mwanamke gani wa maana mkuu?

Kama hutaki kuhonga utaendelea kula malapulapu maisha yako yote.
Kama unataka kula kitu roho inapenda kuhonga ni lazima,.

Hivi kweli mwanaume umkose mtoto mzr sababu ya laki Moja?
Wanawake wana wanawadharau Wanaume wa aina mbili.

(1) Mwanaume mwenye kuhonga.
(2)Mwanaume anayemuoa wakati yeye mwanamke sio bikira.

Mimi nilipoanza kujitambua nilianza project ya kujithamini na kukuza muonekano wangu.
Huwezi amini ndinga ya kwanza kuendesha nilinunuliwa na Binti alafu wakati huo sina mbele wala nyuma ila ukiniona utadhani ni bonge la boss.
vita ya kwanza ni kujitambua.
 
Kwahyo unapotamba kununuliwa gari na mwanamke ,
je unajuwa pesa katoa wapi?
💯 Ya wanaume ambao hawahongi pesa mwanamke ni wale ambao wanajuwa kabisa kwamba huyo demu wake ana bwana mwingine lakini yeye hajali..
 
Kwa hiyo kila mwanamke hela ni mpaka haongwe ?

Hawawezi kuwa na kipato nje ya kuhongwa?

kwa hiyo hata muheshimiwa Samia hawezi kumpa zawadi kama gari mumewe?
kuna wanawake wana kipato kizuri kudhidi wanaume wengi tu.
shida inakuwa kuwapata ila ukishampata hicho nilichofanyia ni kidogo sana ikiwa tu kakupenda.

Ukikuwa utasikia na kujionea mengi.
 
Usimpe mwanamke hela zaidi ya anazohitaji.

Usimuendekeze katika mambo yake ya kujipamba.

Nimeona kwenye Facebook juzi mwanamke,huyu mwanamke alipokuwa recent graduate kutoka kwenye University, anasema nywele amezisikia kwa gharama ya $400. Dola mia nne.

Siyo mzungu huyu,ni Mswahili tu wa Africa.
 
Mimi huwa sihongagi kabisa wanawake japo sijawahi kuwa na mahusiano stable sana na wala sijali mana kifedha nakuaga salama sana mm ni mchumi haswaaa kwa hvi viumbe, ahsantee kwa uzi mzuri👍
 
Mimi huwa sihongagi kabisa wanawake japo sijawahi kuwa na mahusiano stable sana na wala sijali mana kifedha nakuaga salama sana mm ni mchumi haswaaa kwa hvi viumbe, ahsantee kwa uzi mzuri👍
Unadanganya.
Inamaana hamkai sehemu mkala bites? Mnachukuana hadi ghetto kila mtu kwa nauli yake?
 
Yaani ujaze mavitu yote hayo kwenye friji na bado ubakiwe na hela ya kuwekeza?apendae mafuta na mvinyo hatakuwa tajiri.
 
K
ACHA ushamba, kijana unahongaje, sisi wazee ndo tuna honga kwasababu tunalizimisha kupendwa..
Kijana kuwa smati mtanashati, mavazi mazuri Vaa kisasa, simu nzuri. ghetto Kali, ukiweza usafiri, watakupenda tu,
 
Asante chatgpt kwa kuandika huu uzi
 
Mbona me napewa bure, tena wengine wakitaka niwazalishe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…