Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

Siyo lazima kuhonga Mi ni bahili sihongi, hela yangu na save nafanya mambo ya maendeleo yangu binafsi na ajabu ni kuwa wachumba wanakuja wenyewe kwahiyo ni sahihi weka ngumu tu, ukilazimisha kupendwa kwa pesa kila siku itabidi u recharge kwa kuweka pesa.

Alafu yalivyo majinga yakilizwa ndio huja huku kusema wanawake wabayakama ulitumia pesa Vibaya kosa la Mwanamke ni lipi? Kutumia pesa za mjinga sio dhambi
 
Mkuu hi ya kupiga Bure ni kweli kabisa aiseeee
Jamn nin kweli hawa watu wanaliwa bure..
Jamaaani hata kama unaona anajiheshimu vp ila jua analiwa vzr tuu tena bureeeee
.jamani eeeeeh hao walaji wa bure si wengine ni sisi hapa..

Sema sometimes napendaga mimi...

Mfano shangazi dorry ni next level an aiseee katika mashangz yote huyu dorry aaaah hapana...

Kwa sasa washard mtaani hawa wa form6 yaan ni kuwakanda tu...

Na Mwanamke akiliwa Bure huitoa Kwa hisia zote na lazima afike
 
Sio Kwa kijana mdogo chini ya miaka 45

Hakuna atakayekusifia Wala kukuona unaakili Kwa umri huo ukihonga. Hata huyo unayemhonga mwenyewe atakudharau tuu
Sasa bila kuhonga utampata mwanamke gani wa maana mkuu?

Kama hutaki kuhonga utaendelea kula malapulapu maisha yako yote.
Kama unataka kula kitu roho inapenda kuhonga ni lazima,.

Hivi kweli mwanaume umkose mtoto mzr sababu ya laki Moja?
 
😂😂
Kazi tukuka.
Sisi acha tukusanye tufikie utajiri wenu
Vizuri mkuu endeleeni kujitafuta.
Mimi kabla sijajipata nilikuwa mwanafunzi mzuri sana wa masomo yako hasa ile misimamo yako ya 'usimhurumie mwanamke' bila shaka imechangia kwa kiasi kikubwa kuwa nilipo sasa, nawashauri vijana jobless wote humu waungane na masomo yako.
 
Sasa bila kuhonga utampata mwanamke gani wa maana mkuu?

Kama hutaki kuhonga utaendelea kula malapulapu maisha yako yote.
Kama unataka kula kitu roho inapenda kuhonga ni lazima,.

Hivi kweli mwanaume umkose mtoto mzr sababu ya laki Moja?

Kama hujipendi utakula marapurapu tuu.

Nishakuambia vaa vizuri, jijenge kiuchumi, kuwa na Maisha standard, jipende. Uone!

Wewe Kwa uelewa wako watu mashuhuri kama kina Diamond Wanahonga?
 
Safi mkuu, lakini umesahau betting nikama kuhonga tu, pesa nyingi zinapotea huko, Vijana Tubadilike.
 
Japo nishazeeka ila na mimi nimejifunza.
Barikiwa mtibeli.

Lamomy nina muda sijajifanyia shopping ila nina ka laki 6 hapa.Hebu recomend wapi nitapata tu nguo twa bei nafuu hapo kariakoo kwa hicho kibajeti changu.Dukani kwako wewe una za kisichana sana nataka za kimadam😃

Vijana wafundishwe wajitambue.
Vinginevyo wataishia kulaumu wanawake Kila siku Kwa ujinga wao.

Vijana wajinga ni fursa Kwa wanawake wakora.
Wasichana wasiojitambua ni fursa Kwa wanaume waharibifu
 
Imebidi niende kwenye uzi wa warembo wakali, uzalendo umenishinda.
 
Umetoa ushauri ni sawa, naomba nijibiwe hapa. Kwanini wanaume baadhi, mnadhani ni wanawake tu ndiyo wanawamalizia pesa, au ndiyo wanawafanya malengo yenu yasifanikiwe?

Haka kaugomvi baridi na wanawake mbona hakaeleweki? Uzuri mwisho wa siku kama mwanaume ni rijali, anakuwa na mwanamke. Ukikuta mwanaume yuko single leo labda ni sekunde chache katoka kuachana. Je hamuoni kutenganisha mwanaume na mwanamke hili limeshindikana ni kama mnampigia mbuzi gitaa akatike?
Kwani mtoa mada kasema wanaume wasiwe kwenye mahusiano?!
 
UKIWA KIJANA PESA YAKO IENDE KWENYE HAYA MAMBO. UTATOBOA TUU! KAMWE USIHONGE WANAWAKE!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Bado mdogo, unanguvu, ngozi haijalegea na kusinyaa. Ukivaa nguo zinakupendeza, ukinyoa nywele mtindo wowote unatoka chicha. Kwa nini Uhonge?
Kwa nini utumie pesa yako uliyoutafuta kwa jasho kuitoa kirahisi kwa wanawake ambao unaweza kuwapata Bure?

Aliyekuambia mwanamke lazima umhonge ndio akupe alikuwa mtumwa wa wanawake, alikuwa msukule wa wanawake.
Mbaya zaidi wanawake aliokuwa anawapa hela kuna watu walikuwa wanajipigia Bure.

Fikiria huyo mwanamke unayetumia mapesa kwa mapesa ili akupe utamu, unayevuja jasho ili umnunulie iPhone, wenzako wanajipigia bure kabisa. Tena bure kabisa.

Usiwekeze pesa kwa Wanawake, watakusumbua milele zote.

Wekeza kwenye mambo yako binafsi uone utakavyokula mbususu bure Kabisa. Tena watazileta wenyewe.

Peleka Pesa yako kwenye Maeneo yafuatayo;

1. Wekeza kwenye Biashara.
Hiyo Laki moja unayompa mwanamke ambaye tunamla burebure unaweza kufanya hata biashara ya mayai au maziwa ukapatamo pesa.
Fanya biashara.
Mwanamke ni Liability ukiwa umri mdogo.

Asije akakudanganya mtu ati utakosa mwanamke. Uongo! Kwani Sisi ambao hatutoi pesa tunapata wapi hao wanawake.
Tena wanawake tunaotoka nao ni Wale grade A, watoto shule IPO, pesa ipo, na wakali kwa sura, rangi na shape.

2. Nunua Mashamba
Ukiwa na Milioni Moja unapata mashamba heka tano huko vijijini. Nenda Morogoro huko.
Sasa unamnunulia demu Simu ya laki tatu. Wakati hiyo laki tatu wenzako tuliitumia kununua mashamba.
Nunua shamba, ukipata elfu 50 kasafishe, ukipata nyingine kaanzishe project iwe kilimo au ufugaji.

Kuliko uwaze hicho kidemu ulichokinunulia simu ni Bora uwaze shamba ulilonunua kuwa utalifanyia nini.

3. Nunua vitu vya ndani
Kazi yako ubangaizaji, bado unahonga na kutapanya pesa.
Unapoishi huna Friji, washing machine, Pasi, Laptop, Kabati la nguo na vyombo, Majiko ya kisasa, kitanda cha kisasa,
N.k.
Bado ulivyomjinga unahonga.

Jipende. Penda unapoishi. Rahisisha maisha yako.

4. Nunulia Wazazi wako vitu vizuri.
Usitake wazeeke au wafe.
Nakuhakikishia pesa yoyote unayompa mwanamke itakurudia kwa maumivu makali Sana.
Yaani pesa yako ikuumizw, why?
Lakini pesa yoyote utakayonunulia wazazi wako vitu utakurudia na furaha na baraka.

5. Jipendezeshe, Vaa na Kula Vizuri.
Hiyo hela unayotaka kuhonga fikiria itanunua nguo gani au kiatu gani kitakachokupendeza.
Fikiria utajaza nini kwenye friji.
Fikiria kununua Trey ya mayai.
Fikiria kununua lita 10 ya maziwa uweke kwenye Friji.
Fikiria kununua samaki wa elfu 25,
Fikiria kununua Wine nzuri utakayokunywa ukiwa umerudi home.

Fikiria umenunua Saa Kali ya mkononi.
Fikiria umenunua Suti taxido Kali umeivaa wakati unaenda kanisani.
Fikiria umenunua kanzu Kali ya kuendea msikitini.
Fikiria umenunua mafuta mazuri ya laki Moja na Perfume Kali.
Jipende.

Nakuhakikishia ukijipenda wewe zaidi ndio mwanzo wa kufanikiwa.
Wanawake hutowapa hata shilingi Mia yako na utawapata kirahisi.

6. Nunua vitabu iwe online au hardcopy
Sehemu ya pesa yako iende kwenye kujifunza vitu vipya. Soma!
Ingia kwenye mitandao lipia vitabu, makala, majarida, nunua vitabu. Ongeza maarifa.

7. Nunua vitu vya mazoezi kisha fanya Mazoezi.
Nenda Gym angalau mara mbili kwa wiki.
Kama huna pesa au hakuna gym, nunua viatu, nguo na vifaa vya mazoezi, Fanya mazoezi.

Kuhonga at least unamiaka hamsini huko tayari umeshakuwa Mtu mzima.
Miaka 50 huna chakumpa binti wa Miaka 20 zaidi ya pesa zako.

Hakuna binti atakukubalia ukiwa umri huo bila pesa. Ndio maana itakupasa Uhonge.
Lakini sio sasa umri mdogo haha 40 huijui unawaza kuhonga

Hujiamini au?
Huvai vizuri au?
Hufanyi KAZI au?

Raha ya kutokuhonga mwanamke hawezi kukusumbua owe kimwili, kiakili au kihisia. Yaani akitaka kuondoka wala hauna hasara yoyote Ile.
Kwa hiyo kibiashara tunasema dili lilienda vizuri.

Acha nipumzike

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Jmambo gumu sana kwa vijana wa leo anatoa elfu 3 ili apige video call kwa malaya apige nyeto
 
Back
Top Bottom