Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

Mkuu hi ya kupiga Bure ni kweli kabisa aiseeee
Jamn nin kweli hawa watu wanaliwa bure..
Jamaaani hata kama unaona anajiheshimu vp ila jua analiwa vzr tuu tena bureeeee
.jamani eeeeeh hao walaji wa bure si wengine ni sisi hapa..

Sema sometimes napendaga mimi...

Mfano shangazi dorry ni next level an aiseee katika mashangz yote huyu dorry aaaah hapana...

Kwa sasa washard mtaani hawa wa form6 yaan ni kuwakanda tu...
 
Uwe unatoa na ushauri Kwa wazee pia.

My Take
Jitihada haizidi kudra.
Mzee kama wewe ushauri hauna maanatena kwako,wewe tunakuachia wahenga sasa,Kama kua uyaone mwanangu"ulisha chelewa.Samaki mkunje angali mbichi."Ulisha kakamaa"Sasa jua huna tena msaada na pengine na maana kwa mtanzania na Tanzania kilichosalia ni upitwe na muda mchache ulio salia.Binafsi ndio msaada wangu kwako.
 
Japo nishazeeka ila na mimi nimejifunza.
Barikiwa mtibeli.

Lamomy nina muda sijajifanyia shopping ila nina ka laki 6 hapa.Hebu recomend wapi nitapata tu nguo twa bei nafuu hapo kariakoo kwa hicho kibajeti changu.Dukani kwako wewe una za kisichana sana nataka za kimadam😃
 
Madomo zege hawatokuelewa kabisa. Wao wanaona pesa ndo inawachongea barabara ya kupitia kile kichochoro cha warembo.

Narudia tena 'kile kichochoro cha warembo'.
 
Japo nishazeeka ila na mimi nimejifunza.
Barikiwa mtibeli.

Lamomy nina muda sijajifanyia shopping ila nina ka laki 6 hapa.Hebu recomend wapi nitapata tu nguo twa bei nafuu hapo kariakoo kwa hicho kibajeti changu.Dukani kwako wewe una za kisichana sana nataka za kimadam😃
Dada acha kuvaa njoo twende chimbo moja hivi wana wine genuine kutoka Paris sio zile fake wanazotengeneza dubai 😛😹
 
Dada acha kuvaa njoo twende chimbo moja hivi wana wine genuine kutoka Paris sio zile fake wanazotengeneza dubai 😛😹
Nimemiss harufu ya nguo mpya dogo.😬
Kwa vile umeona hela yangu haitoshi shopping fanya kuongezea basi itoshe shopping😃.
Mtibel kanigusa ujue.😃
Mi sihongi ila kutwa niko na new project hadi najisahau kuwa mimi ndo main project.😃
 
Narudia tena hakuna mwanamke WA bure ukitaka kugonga bure mgonge dadako au mamako basi ila mwanamke asie na nasaba na wewe awe mke awe hawara au changudoa my friend hayupo naona umekubali Hapo kama unanunua ndio hivyo Sababu hakuna cha bure na kama yupo ni WA siku chache maana atachoka atakubwaga nawe utahamia kwa mwengine sasa NI mpaka lini utahamia mwenge kijiji.

Wanawake Maskini wasio na kazi ndio wanamtazamo kama wako Mkuu.

Na kijana lazima ajiepushe Kwa namna yoyote na wanawake wenye mtazamo wako.

Hata hivyo siku zinavyozidi kwenda hata wale wanawake Maskini hawatakuwa budi kubadili mtazamo wao kilazima maana watakosa wanaume wa maana
 
Umetoa ushauri ni sawa, naomba nijibiwe hapa. Kwanini wanaume baadhi, mnadhani ni wanawake tu ndiyo wanawamalizia pesa, au ndiyo wanawafanya malengo yenu yasifanikiwe?

Kwa sababu ya ujinga wa wanaume wengi. Na wanawake mmeweza kuutumia ujinga huo wa wanaume wengi kujinufaisha na kuwafilisi wanaume.

Haka kaugomvi baridi na wanawake mbona hakaeleweki? Uzuri mwisho wa siku kama mwanaume ni rijali, anakuwa na mwanamke. Ukikuta mwanaume yuko single leo labda ni sekunde chache katoka kuachana. Je hamuoni kutenganisha mwanaume na mwanamke hili limeshindikana ni kama mnampigia mbuzi gitaa akatike?

Hatupo kutenganisha Mwanaume na Mwanamke.
Tupo kuwashtua wanaume wajinga wajitambue.
Waelewe Mwanamke Hana tofauti kubwa na Mwanaume
 
Kuhonga ni nature ya mwanaume yeyote.
Viumbe vyote vya jinsiia ya kiume huwa vinahonga ili kunogesha penzi au kutengeneza mazingira mazuri ya ushindi..
kumvua chupi mwanamke anayejielewa sio kazi ndogo AISEE.
 
Kuhonga ni nature ya mwanaume yeyote.
Viumbe vyote vya jinsiia ya kiume huwa vinahonga ili kunogesha penzi au kutengeneza mazingira mazuri ya ushindi..
kumvua chupi mwanamke anayejielewa sio kazi ndogo AISEE.

Sio Kwa kijana mdogo chini ya miaka 45

Hakuna atakayekusifia Wala kukuona unaakili Kwa umri huo ukihonga. Hata huyo unayemhonga mwenyewe atakudharau tuu
 
Back
Top Bottom