Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

Ushauri kwa vijana. Ukitaka mwanamke WA bure muunde wako maana kuzaa huwezi shwaini. Mnawagonga bure hao wasiojielewa no money no honey period. Halafu we unaetoa ushauri ndio kimwaga makono ukiona Simu ya demi wako badala ya kupokea unakata,unatuma pesa ndio unamcall back kama naona muamala halafu ndio niendelee kusogoa acha Kudanganya wenzako. Hakuna mwanamke anaekubali kugonjwa na njaaa.
 
Stori wa watu kujipigia bure ni hadithi za vijiweni. Kwenye hii Dunia hakuna kitu cha bure. Hakuna mwanamke anatoa uchi wake hapa Duniani bure, lazima kuna kitu anapata kutoka kwako ama anategemea ama kutarajia kupata kutoka kwako.

Hakuna kitu cha bure kwenye hii Dunia.

Sasa ukiambiwa kuna wanawake wanatoa pesa kwa wanaume si ndio utasema ni riwaya?

Nishakuambia, wenzako papuchi tunazila Free kabisa. Na sio wanawake wahovyo hovyo nazungumzia wanawake ambao kwa wengine huwaita maboss zao
 
Madini tupu chief wanaume zaifu wategemea kitonga kwa demu hawawezi changia kitu hapa wanaume lijali ndo watachangia hapa
Kitonga Gani anapata mtu anaetoa pesa mzee wakati asietoa pesa ndio anasubiri kitonga umechanganya mafaili🤣🤣🤣🤣🤣
 
😃😃😃
Ni kweli lakini kibinti ya miaka 20 kipo chuo alafu Taikon na 50Yrs yangu kinipe burebure lazima niwe nimetumia utapeli wa hali ya juu sana

Unajua sex imekuwa Kama vile liabilities nakumbuka zamani kupata mwanamke ilikuwa inahitaji resources Kama Time , pesa na kuhudumia

But for now sex is everywhere kwahiyo MTU kuhonga anakuwa ni mjinga Sana hata ukiwa na 50 au 60 ni bora mkubaliane kabisa

Na after 10 yrs wanawake ndo watakuwa wanahonga wanaume ili wapate sex.

Kama ilivyo sasa hivi wanavyopigania ndoa .
 
Ushauri kwa vijana. Ukitaka mwanamke WA bure muunde wako maana kuzaa huwezi shwaini. Mnawagonga bure hao wasiojielewa no money no honey period. Halafu we unaetoa ushauri ndio kimwaga makono ukiona Simu ya demi wako badala ya kupokea unakata,unatuma pesa ndio unamcall back kama naona muamala halafu ndio niendelee kusogoa acha Kudanganya wenzako. Hakuna mwanamke anaekubali kugonjwa na njaaa.

Sasa kama wewe ni maskini na biashara yako ni kuuza papuchi ulitaka tusinunue hapo Meeda?
 
UKIWA KIJANA PESA YAKO IENDE KWENYE HAYA MAMBO. UTATOBOA TUU! KAMWE USIHONGE WANAWAKE!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Bado mdogo, unanguvu, ngozi haijalegea na kusinyaa. Ukivaa nguo zinakupendeza, ukinyoa nywele mtindo wowote unatoka chicha. Kwa nini Uhonge?
Kwa nini utumie pesa yako uliyoutafuta kwa jasho kuitoa kirahisi kwa wanawake ambao unaweza kuwapata Bure?

Aliyekuambia mwanamke lazima umhonge ndio akupe alikuwa mtumwa wa wanawake, alikuwa msukule wa wanawake.
Mbaya zaidi wanawake aliokuwa anawapa hela kuna watu walikuwa wanajipigia Bure.

Fikiria huyo mwanamke unayetumia mapesa kwa mapesa ili akupe utamu, unayevuja jasho ili umnunulie iPhone, wenzako wanajipigia bure kabisa. Tena bure kabisa.

Usiwekeze pesa kwa Wanawake, watakusumbua milele zote.

Wekeza kwenye mambo yako binafsi uone utakavyokula mbususu bure Kabisa. Tena watazileta wenyewe.

Peleka Pesa yako kwenye Maeneo yafuatayo;

1. Wekeza kwenye Biashara.
Hiyo Laki moja unayompa mwanamke ambaye tunamla burebure unaweza kufanya hata biashara ya mayai au maziwa ukapatamo pesa.
Fanya biashara.
Mwanamke ni Liability ukiwa umri mdogo.

Asije akakudanganya mtu ati utakosa mwanamke. Uongo! Kwani Sisi ambao hatutoi pesa tunapata wapi hao wanawake.
Tena wanawake tunaotoka nao ni Wale grade A, watoto shule IPO, pesa ipo, na wakali kwa sura, rangi na shape.

2. Nunua Mashamba
Ukiwa na Milioni Moja unapata mashamba heka tano huko vijijini. Nenda Morogoro huko.
Sasa unamnunulia demu Simu ya laki tatu. Wakati hiyo laki tatu wenzako tuliitumia kununua mashamba.
Nunua shamba, ukipata elfu 50 kasafishe, ukipata nyingine kaanzishe project iwe kilimo au ufugaji.

Kuliko uwaze hicho kidemu ulichokinunulia simu ni Bora uwaze shamba ulilonunua kuwa utalifanyia nini.

3. Nunua vitu vya ndani
Kazi yako ubangaizaji, bado unahonga na kutapanya pesa.
Unapoishi huna Friji, washing machine, Pasi, Laptop, Kabati la nguo na vyombo, Majiko ya kisasa, kitanda cha kisasa,
N.k.
Bado ulivyomjinga unahonga.

Jipende. Penda unapoishi. Rahisisha maisha yako.

4. Nunulia Wazazi wako vitu vizuri.
Usitake wazeeke au wafe.
Nakuhakikishia pesa yoyote unayompa mwanamke itakurudia kwa maumivu makali Sana.
Yaani pesa yako ikuumizw, why?
Lakini pesa yoyote utakayonunulia wazazi wako vitu utakurudia na furaha na baraka.

5. Jipendezeshe, Vaa na Kula Vizuri.
Hiyo hela unayotaka kuhonga fikiria itanunua nguo gani au kiatu gani kitakachokupendeza.
Fikiria utajaza nini kwenye friji.
Fikiria kununua Trey ya mayai.
Fikiria kununua lita 10 ya maziwa uweke kwenye Friji.
Fikiria kununua samaki wa elfu 25,
Fikiria kununua Wine nzuri utakayokunywa ukiwa umerudi home.

Fikiria umenunua Saa Kali ya mkononi.
Fikiria umenunua Suti taxido Kali umeivaa wakati unaenda kanisani.
Fikiria umenunua kanzu Kali ya kuendea msikitini.
Fikiria umenunua mafuta mazuri ya laki Moja na Perfume Kali.
Jipende.

Nakuhakikishia ukijipenda wewe zaidi ndio mwanzo wa kufanikiwa.
Wanawake hutowapa hata shilingi Mia yako na utawapata kirahisi.

6. Nunua vitabu iwe online au hardcopy
Sehemu ya pesa yako iende kwenye kujifunza vitu vipya. Soma!
Ingia kwenye mitandao lipia vitabu, makala, majarida, nunua vitabu. Ongeza maarifa.

7. Nunua vitu vya mazoezi kisha fanya Mazoezi.
Nenda Gym angalau mara mbili kwa wiki.
Kama huna pesa au hakuna gym, nunua viatu, nguo na vifaa vya mazoezi, Fanya mazoezi.

Kuhonga at least unamiaka hamsini huko tayari umeshakuwa Mtu mzima.
Miaka 50 huna chakumpa binti wa Miaka 20 zaidi ya pesa zako.

Hakuna binti atakukubalia ukiwa umri huo bila pesa. Ndio maana itakupasa Uhonge.
Lakini sio sasa umri mdogo haha 40 huijui unawaza kuhonga

Hujiamini au?
Huvai vizuri au?
Hufanyi KAZI au?

Raha ya kutokuhonga mwanamke hawezi kukusumbua owe kimwili, kiakili au kihisia. Yaani akitaka kuondoka wala hauna hasara yoyote Ile.
Kwa hiyo kibiashara tunasema dili lilienda vizuri.

Acha nipumzike

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Ushauri perfect huu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Unajua sex imekuwa Kama vile liabilities nakumbuka zamani kupata mwanamke ilikuwa inahitaji resources Kama Time , pesa na kuhudumia

But for now sex is everywhere kwahiyo MTU kuhonga anakuwa ni mjinga Sana hata ukiwa na 50 au 60 ni bora mkubaliane kabisa

Na after 10 yrs wanawake ndo watakuwa wanahonga wanaume ili wapate sex.

Kama ilivyo sasa hivi wanavyopigania ndoa .

Mkuu wewe unajicho la kuona.

Kuna watu wanachelewa kung'amua mambo
 
Ushauri kwa vijana. Ukitaka mwanamke WA bure muunde wako maana kuzaa huwezi shwaini. Mnawagonga bure hao wasiojielewa no money no honey period. Halafu we unaetoa ushauri ndio kimwaga makono ukiona Simu ya demi wako badala ya kupokea unakata,unatuma pesa ndio unamcall back kama naona muamala halafu ndio niendelee kusogoa acha Kudanganya wenzako. Hakuna mwanamke anaekubali kugonjwa na njaaa.
kwa wanawake wa sasq wacheza viduku walika kwa efu3
 
Umetoa ushauri ni sawa, naomba nijibiwe hapa. Kwanini wanaume baadhi, mnadhani ni wanawake tu ndiyo wanawamalizia pesa, au ndiyo wanawafanya malengo yenu yasifanikiwe?

Haka kaugomvi baridi na wanawake mbona hakaeleweki? Uzuri mwisho wa siku kama mwanaume ni rijali, anakuwa na mwanamke. Ukikuta mwanaume yuko single leo labda ni sekunde chache katoka kuachana. Je hamuoni kutenganisha mwanaume na mwanamke hili limeshindikana ni kama mnampigia mbuzi gitaa akatike?
 
Sasa kama wewe ni maskini na biashara yako ni kuuza papuchi ulitaka tusinunue hapo Meeda?
Narudia tena hakuna mwanamke WA bure ukitaka kugonga bure mgonge dadako au mamako basi ila mwanamke asie na nasaba na wewe awe mke awe hawara au changudoa my friend hayupo naona umekubali Hapo kama unanunua ndio hivyo Sababu hakuna cha bure na kama yupo ni WA siku chache maana atachoka atakubwaga nawe utahamia kwa mwengine sasa NI mpaka lini utahamia mwenge kijiji.
 
Sasa ukiambiwa kuna wanawake wanatoa pesa kwa wanaume si ndio utasema ni riwaya?

Nishakuambia, wenzako papuchi tunazila Free kabisa. Na sio wanawake wahovyo hovyo nazungumzia wanawake ambao kwa wengine huwaita maboss zao
Achana na hizo hadithi za vijiweni, kama una hela honga utapata wanawake wazuri na utakula wanawake wazuri unaowataka wewe.
 
Umetoa ushauri ni sawa, naomba nijibiwe hapa. Kwanini wanaume baadhi, mnadhani ni wanawake tu ndiyo wanawamalizia pesa, au ndiyo wanawafanya malengo yenu yasifanikiwe?

Haka kaugomvi baridi na wanawake mbona hakaeleweki? Uzuri mwisho wa siku kama mwanaume ni rijali, anakuwa na mwanamke. Ukikuta mwanaume yuko single leo labda ni sekunde chache katoka kuachana. Je hamuoni kutenganisha mwanaume na mwanamke hili limeshindikana ni kama mnampigia mbuzi gitaa akatike?
Nyie ndiyo msukumo na watumiaji wa pesa zetu.
 
Back
Top Bottom