Ukiwa kijana usikubali kuishi kijijini

Ukiwa kijana usikubali kuishi kijijini

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Nimepita vijiji vingi vya Tanzania , Zambia, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji na South Africa hii, Kuna vitu vinafanana sana kasoro vijiji vya South Africa ( baadhi sio vyote ) vimechangamka na kuweeza kusuport kuishi na kuongezeka kimaisha,

Ila vijiji vingi vina matatizo ambayo hata wewe ukiamua ukaishi huko huwezi yamaliza na itakufanya utumie muda mwingi kushughulikia matatizo baadala ya kushughulikia vitu vya kukusaidia , kwa mfano ni kawaida vijiji vya Tanzania kuwa na huduma hafifu ya kijamii au kukosa kabisa huduma za muhimu hivo kujikuta unapoteza muda kutafta huduma ,watu wanakuzunguka kijijini sijui wanakuwa Wana akili gani ni kama wameweka ligi ya nani awe maskini zaidi.
 
ukipewa za mbayuwayu changanyana na zako...

watanzania kazi kutishana kila siku
 
Back
Top Bottom