Ukiwa kila siku unapata Furaha basi hutoona thamani ya furaha

Ukiwa kila siku unapata Furaha basi hutoona thamani ya furaha

Dr Ismaily

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
289
Reaction score
552
Kawaida ya binadamu kitu chichote ukikipata kwa wingi na kwa urahisi basi thamani yake hutoiona, mpaka siku hiyo neema ikutoke.

Mfano mzuri Yanga ilikuwa ikishinda goli tano tano mara nne nne mashabiki ilikuwa ikitokea wameshinda moja au mbili wanalalamika, hawakujua ile ni neema tu.

Leo baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo naona thamani ya ile furaha waliyokuwa nayo hapo nyuma wanaona thamani yake angalau wapate japo goli moja tu.

Ndio necha ya binadamu kila hali unatakakiwa uipate japo kidogo. Thamani ya uwepo wetu duniani itakuwa hapo

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Furaha na huzuni ni sehemu ya maisha.
 
1731000816155.jpg
 
Back
Top Bottom