Ukiwa kiongozi jihadhari na wanaokupamba, wapende wanaokukosoa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731

Picha hii ya kukumbukwa inaeleza mengi sana, haijalishi nchi uliyopo iko wapi ama iko namna gani, jifunze jambo ili upate faida.
 
huyu naye akitoka atatunga kitabu !

Kwa jiwe ni tofauti, yeye ni bora umsifie hata sifa ambazo anaona kabisa ni za uongo, kuliko umkosoe kwenye jambo ambalo hata alikifanyia kazi litakuwa na tija.
 
Huyo Abdel amekaa hapo kumbe mawazo yake yote yapo kwenye hicho kiti mneso cheusi, hakumchelewesha kamtoa hapo, kamfungulia kesi, kafa akiwa mahakamani akisikila mashtaka dhidi yake. Siasa za Afrika hizo.
 
Misri ni waarabu japo wanaishi Afrika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…