Ukiwa kwenye mahusiano mapya angalia hili!!

:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Nakubaliana na wewe kiongozi!!!!!
 
Mhnnnn!!Ndo unanua Mkanda wa plastic,Soksi za nylon,Chupi imeandikwa TMK wanaume,Flana ya ndani ya mpira!!Hapana inabidi ujipangie vya mda wakununua mahitaji yako!sasa unamwonyesha mpenzi wako kwamba wewe hivyo vitu hukuwa navyo au??

unaitest kwa kuzungushia shingoni
 
Ivi tatizo ni kununua vitu ukiwa bar au ni quality ya vitu unavyonunua???mi shopping zangu nilizofanya nikiwa bar ni quality ile mbaya tofauti na zile nilizojiandaa kwenda madukani,kwanza huo muda tutapata wapi wakati weekend yenyewe fupiiiiiii!!Tuache na machinga wetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…