sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kwani hata nikinunua kwa pesa yangu nini kinakukwaza? Pointless!!!!
Nakubaliana na wewe kiongozi!!!!!Ni kweli tabia ya kununua vitu hovyo inaonesha jinsi gani mtu alivyo disorganised na asiye kuwa na mipango. kama muda wa kutoka out na demu wako unao huwezi kukosa muda wa kwenda shoping na uzuri siku hizi yapo maduka kibao ya nguo na urembo yanafungwa sa 4 usiku
Mhnnnn!!Ndo unanua Mkanda wa plastic,Soksi za nylon,Chupi imeandikwa TMK wanaume,Flana ya ndani ya mpira!!Hapana inabidi ujipangie vya mda wakununua mahitaji yako!sasa unamwonyesha mpenzi wako kwamba wewe hivyo vitu hukuwa navyo au??