Ukiwa kwenye mahusiano na Single Mother anaejitambua hata kama hutamuoa yeye hakika utapenda uoe uwe na mke

Nimesoma heading tu nikaona niwahi kukoment kwanza then ntarudi kusoma uzi.
Iko hivi...labda hujakutana na single mother ambaye ana stress za maisha alishavurugwa akili zikayumba
Mbunye utakuwa unapewa ila jiandae na vizinga, kisirani na majibizano mpaka michambo.
 
Dah.!
 
Ume ongea ukweli mkuu.

Na si kama vijana kampeni yetu na msimamo wetu ni ule ule..[emoji116]

TUNA KATAA SINGLE MAZA

SINGLE MAZA NI MKOSI

SINGLE MAZA NI MTEGO

SINGLE MAZA NI WAKE ZA WATU.
.
 
PIGA VITA SINGLE MAZA

EPUKA SINGLE MAZA.

JIHADHARI NA SINGLE MAZA

SINGLE MAZA NI MTEGO.
 
Well said 🌹
Una busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia.
Mimi ni single mama but mume wangu alifariki kwa ajali ya gari baada ya kugonga lori. Aliniacha na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi 3 na sasa amekua namshukuru Mungu.
So wanaume wanaowakejeli single mamas nashindwa kuelewa kama wana ubinadamu na utu.
After all watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu; ni familia ngapi zinatafuta watoto usiku na mchana!
 
Siwezi toa kauli/comments ambayo itamfanya mdada mwenye mtoto ajiskie vby, siwezi jua mazingira yaliyomfanya akapata mtoto

Una busara sana Mwenyezi Mungu amekujalia.
Mimi ni single mama but mume wangu alifariki kwa ajali ya gari baada ya kugonga lori. Aliniacha na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi 3 na sasa amekua namshukuru Mungu.
So wanaume wanaowakejeli single mamas nashindwa kuelewa kama wana ubinadamu na utu.
After all watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu; ni familia ngapi zinatafuta watoto usiku na mchana!
 
Pole sanaa
 
Mimi mashangazi nayo ila shida zao kubwa ni viburi,na kujiona wanaweza kila kitu
 
Pole sana rafiki yangu!
Mungu atakutoa kwenye changamoto uliyopo/ unayopitia katika namna usiyoijua!

Kama hujafunga pm ntakucheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…